Msemaji wa Serikali: Suala la mashabiki kukaguliwa ‘Passport’, Waziri Ndumbaro alikuwa anatania

Ila tungeweza kufungiwa FIFA kwa hadi miaka mitatu, serikali ni facilitator tu, haipaswi kuondkana ikiingilia utendaji katika maambo ya mpira.
 
Kwa hiyo wewe uliamini kabisa siku ya mechi kutakuwa na watu uwanjani wakikagua passport?
 
Kupitia Msemaji wa Serikali Mobhare Matinyi, Serikali imesema kauli ya Waziri Ndumaro ilikuwa ni utani.

Nawapongeza wana JF wote waliopiga spana mpaka Serikali imerusha taulo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tutafika tumechoka na viti tutakuta vimejaa , hata mikeka tutakosa mwisho kaabisaa tutaonyeshwa mchanga au majani ndiyo tukalie.
 
Angalia kichwa chake kama tikiti, atapata wapi akili huyu?
 
Wale wachambuzi uchwara waliomuunga mkono tuwaweke kundi gani!!
Tbc waache kualika vitoto Toka mabanda ya mpira kuchambua mpira kwani hawana Hela yakuleta wataalamu walostaafu soka?? Au wanawalipaga aftatu?
 
Nchi ya utani utani mambo yanaenda kiutani utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…