Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daraja hilo linajengwa na watu toka sayari gani? Kila nipitapo siwaoni wajenzi si mchana wala usiku na huwa siwasikii viongozi wakiwasema kuhusu kasi ya ujenzi wao!
Kwahiyo Inshallah, Christmas ijayo tunapita daraja jipya.
Zamani sana hata wao wamesahau ni mwaka gani, nadhani ni zaidi ya mitano. Ni karibu na pale lilipotumbukia lori la mama wa Morogoro lilipoopolewa likakutwa halina injini! Wajenzi wa daraja sijui wanatoka sayari gani kwani hawaonekani.Hadi November 2022(almost mwaka mzima) kwa hizo asilimia 30 zilizobaki? kwani lilianza kujengwa lini? duh
IloHadi November 2022(almost mwaka mzima) kwa hizo asilimia 30 zilizobaki? kwani lilianza kujengwa lini? duh
Wachina ila fedha mtoa pesa ni serikaliDaraja hilo linajengwa na watu toka sayari gani? Kila nipitapo siwaoni wajenzi si mchana wala usiku na huwa siwasikii viongozi wakiwasema kuhusu kasi ya ujenzi wao!
Kama billion 67 zinajenga daraja la wami na barabara zake ilikuwaje yule mwezi wa kwanza akatumia 69B kukodi system tu?😅
HaaSGR Dar Moro ilikuwa ikamilike November 2019
Waziri mkuu akasema trial runs zitaanza. August 2021.
. Hii Ni January 2022 hata la kutuambia hamna.
Jiwe angekuwepo anazurura huko maeneo mbali mbali leo hii hilo daraja lingekuwa lishakamilika.SGR Dar Moro ilikuwa ikamilike November 2019
Waziri mkuu akasema trial runs zitaanza. August 2021.
. Hii Ni January 2022 hata la kutuambia hamna.
Watu wa kaskazini tumesahaulika kabisa awamu hii ya sita .Huo ni mradi ambao umesuswaa... Hata sijui kwanini. Ulianza 2017....mwisho ilikuwa 2018.. Sijui shida ni nini. Watu hawapo site .