Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri ni kalavati hilo lijengwe miezi miwili
Ongezea hii
Reli kilometre 200 Dar to Moro inachukua zaidi ya miaka mitano kwa technology ya 2020 wakati mjerumani alijenga 1400km Dar Kigoma kwa technology ya 1900 kwa miaka hiyo hiyo. kulikua hakuna ramani, satellite Wala makatapila.
60 years after indepence km 200 inatuchukua miaka mitano na ushee.
Yaani tunajenga kilomita chini ya km40 kwa mwaka. Isitoshe tunafuatilia reli ya zamani
Basi hapo unajiona bonge la mjanja.Kuna falla mmoja RRONDO wa Lumumba anaona ni sawa Daraja kujengwa kwa miaka sita... eti karavati ndio linatakiwa kujengwa mwaka..
Na bado tunasema vijana ni taifa la kesho,,, wakati vijana ndio hao wa hovyo wamekaa kusifia kila kitu..
Nas Jr kuna umuhimu gani wa kumuita falla.?Kuna falla mmoja RRONDO wa Lumumba anaona ni sawa Daraja kujengwa kwa miaka sita... eti karavati ndio linatakiwa kujengwa mwaka..
Na bado tunasema vijana ni taifa la kesho,,, wakati vijana ndio hao wa hovyo wamekaa kusifia kila kitu..
Basi hapo unajiona bonge la mjanja.