Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

Ujenzi ulioanza 2017,, unatarajiwa kukamilika 2022 November.....almost 6 years tunajenga daraja la 510 Meter.

Hii nchi imekuwa ya hovyo sana.
Ongezea hii
Reli kilometre 200 Dar to Moro inachukua zaidi ya miaka mitano kwa technology ya 2020 wakati mjerumani alijenga 1400km Dar Kigoma kwa technology ya 1900 kwa miaka hiyo hiyo. kulikua hakuna ramani, satellite Wala makatapila.
60 years after indepence km 200 inatuchukua miaka mitano na ushee.
Yaani tunajenga kilomita chini ya km40 kwa mwaka. Isitoshe tunafuatilia reli ya zamani
 
Ujenzi ulioanza 2017,, unatarajiwa kukamilika 2022 November.....almost 6 years tunajenga daraja la 510 Meter.

Hii nchi imekuwa ya hovyo sana.
Ongezea hii
Reli kilometre 200 Dar to Moro inachukua zaidi ya miaka mitano kwa technology ya 2020 wakati mjerumani alijenga 1400km Dar Kigoma kwa technology ya 1900 kulikua hakuna ramani, satellite Wala makatapila.
60 years after indepence km 200 inatuchukua miaka mitano na ushee.
Yaani tunajenga kilomita chini ya km40 kwa mwaka. Isitoshe tunafuatilia reli ya zama
 
Vyovyote vile, ila tambueni makosa makubwa mnafanya, ni kukopa fedha halafu mnazipeleka kwenye ujenzi wa madarasa na vyooo!!!

Huko zinaenda kuzalisha nini ili kuurudisha mkopo huo bila maumivu?

Ulitaka watoto wasome wapi, hospitali zinazalisha nini? Je zisijengwe, dawa zinazalisha nini zisinunuliwe?
 
SGR Dar Moro ilikuwa ikamilike November 2019
Waziri mkuu akasema trial runs zitaanza. August 2021.
. Hii Ni January 2022 hata la kutuambia hamna.
Bado unamuamini mzee wa balaghashia?
 
Hadi November 2022(almost mwaka mzima) kwa hizo asilimia 30 zilizobaki? kwani lilianza kujengwa lini? duh
Inawezekana kazi iliyobakia 30% ndiyo ngumu zaidi au inahitaji materils toka nje ambayo yatachukua muda kutengenezwa na kusafirishwa. There are always reasons
 
Wabongo kwa kulalamika! Nimepita hapo Jana progress inaridhisha.
 
Kama billion 67 zinajenga daraja la wami na barabara zake ilikuwaje yule mwezi wa kwanza akatumia 69B kukodi system tu?😅
Shh, ngoja tumalize ya daraja kwanza ili uchumi uimarike, hilo jingine siyo kipaunyuma cha watanzania.
 
Back
Top Bottom