Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

Vyovyote vile, ila tambueni makosa makubwa mnafanya, ni kukopa fedha halafu mnazipeleka kwenye ujenzi wa madarasa na vyooo!!!

Huko zinaenda kuzalisha nini ili kuurudisha mkopo huo bila maumivu?
Mtalipa tu hata kwa kuwatoza ada!
 
Vyovyote vile, ila tambueni makosa makubwa mnafanya, ni kukopa fedha halafu mnazipeleka kwenye ujenzi wa madarasa na vyooo!!!

Huko zinaenda kuzalisha nini ili kuurudisha mkopo huo bila maumivu?
Kwani mkopo wa serikali mpaka uzalishe?
 
Kila mradi ukikamilika tutakuwa tunam CC Mgogo mwenye file Milembe
 
Vyovyote vile, ila tambueni makosa makubwa mnafanya, ni kukopa fedha halafu mnazipeleka kwenye ujenzi wa madarasa na vyooo!!!

Huko zinaenda kuzalisha nini ili kuurudisha mkopo huo bila maumivu?
Kuzalisha wataalamu wa kada mbalimbali watakaotumika katika nyanja mbalimbali za uchumi kuongeza uzalishaji wa mali na hivyo kuiwezesha nchi kulipa madeni iliyokopa.
 
SGR Dar Moro ilikuwa ikamilike November 2019
Waziri mkuu akasema trial runs zitaanza. August 2021.
. Hii Ni January 2022 hata la kutuambia hamna.
Katika mtu wa hovyo na waziri asiye jua hesabu ni huyo waziri mkuu
 
SGR Dar Moro ilikuwa ikamilike November 2019
Waziri mkuu akasema trial runs zitaanza. August 2021.
. Hii Ni January 2022 hata la kutuambia hamna.
Juzi kwenye ku-sign ujenzi kipande cha Makutupora - Tabora,Kadogosa katuahidi mbele ya rais April treni ya Dar moro inaanza. Ngoja tuone
 
Karib mwaka mzima!

IMG_20211029_105959.jpg
 
Ujenzi ulioanza 2017,, unatarajiwa kukamilika 2022 November.....almost 6 years tunajenga daraja la 510 Meter.

Hii nchi imekuwa ya hovyo sana.
 
Back
Top Bottom