Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

Duh! Novemba tena...hakuna fedha au itasingiziwa koona!
 
Unafikiri ni kalavati hilo lijengwe miezi miwili

Kwahyo ni mji wa Rome huo,,kwamba ujengwe miaka yote hio,,

We nae hovyo sana,,, Sisiemu wenzako walisema litamalizika mapema sana...
 
Kuna falla mmoja RRONDO wa Lumumba anaona ni sawa Daraja kujengwa kwa miaka sita... eti karavati ndio linatakiwa kujengwa mwaka..

Na bado tunasema vijana ni taifa la kesho,,, wakati vijana ndio hao wa hovyo wamekaa kusifia kila kitu..
 
Basi hapo unajiona bonge la mjanja.
 
Kuna falla mmoja RRONDO wa Lumumba anaona ni sawa Daraja kujengwa kwa miaka sita... eti karavati ndio linatakiwa kujengwa mwaka..

Na bado tunasema vijana ni taifa la kesho,,, wakati vijana ndio hao wa hovyo wamekaa kusifia kila kitu..
Nas Jr kuna umuhimu gani wa kumuita falla.?
Ungesema Kuna mshkaji au beshte yangu kasema desh desh desh ungepungukiwa na Nini?
 
@Nas Jr kuna umuhimu gani wa kumuita falla.?
Ungesema Kuna mshkaji au beshte yangu kasema desh desh desh ungepungukiwa na Nini?

Mkuu RRONDO ameongea kitu cha kijinga sana..

Falla kwa kiswahili ni mjinga,,,Na anayeongea kitu cha kijinga ni mjinga pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…