pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Haya maneno yako ya hekima ni kama ya wazee kumi wa Njuri Ncheke. Hapo sawa jombaa.Trump yeye alirusha tu Jiwe gizani, atakayelia ndo huyo huyo limempata
Ngoja nijaribu nione, wewe pingli-nywee ni mjinga, pumbavu na shoga, unaliwa nyuma[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Waafrika wengi tuna 'low self esteem'. Hivi mtu akikuita mbwa mwitu, kisha ukaanza kuwashwawashwa ni kama una viroboto, si utakuwa ndo umempa ujasiri kabisa wa kukuita mbwa mwitu kichaa, mbwa mwitu mshenzi n.k?
So unategemea tutokwe na mipovu kwa kitu ambacho hakina ushahidi, hakuna hata mtu mmoja ameweka ushahidi wowote hadharani kwamba Trump kasema. Pangekua na ushahidi kama ule wa Mkapa kuwaita nyie malofa basi hapo tungetokwa na mipovu na kulaani na kulialia na kusema sema, lakini kwa sasa kila mtu amekurupuka na makelele bila ushahidi wowote.
Msemaji wa serikali alikua anajibu swali aliloulizwa kuhusu maoni yake ya hilo tusi, na akasema wazi kwamba wanalifanyia uchunguzi na hadi sasa hawajaona shida yoyote maana kiukweli hamna ushahidi zaidi ya dezo dezo, sasa ulitegemea afanye nini, alie au naye amtukane Trump.
Wewe shoga, watu wanapiga nyuma, taarifa zako tunazo[emoji23] [emoji23]Wafrika ni wajinga sana.....mtu akikuita shithole ina maana wewe ni shithole?
So unategemea tutokwe na mipovu kwa kitu ambacho hakina ushahidi, hakuna hata mtu mmoja ameweka ushahidi wowote hadharani kwamba Trump kasema. Pangekua na ushahidi kama ule wa Mkapa kuwaita nyie malofa basi hapo tungetokwa na mipovu na kulaani na kulialia na kusema sema, lakini kwa sasa kila mtu amekurupuka na makelele bila ushahidi wowote.
Msemaji wa serikali alikua anajibu swali aliloulizwa kuhusu maoni yake ya hilo tusi, na akasema wazi kwamba wanalifanyia uchunguzi na hadi sasa hawajaona shida yoyote maana kiukweli hamna ushahidi zaidi ya dezo dezo, sasa ulitegemea afanye nini, alie au naye amtukane Trump.
Mkuu kwani 'Shithole' kwa kiswahili ni nini? Labda tuanzie hapo tupate tofauti kati ya Shithole na Kipofu.Sass Kama unajua ukiambiwa ukweli siyo tusi kwanini umind kuitwa kipofu wakati wewe ni kipofu.think twice blood.
Narudia tena wanao mpinga trump hao ndiyo ma "shithole in did"
Hakusema hivyo alisema Africa countries ni shitholes. Hebu jaribu kujitetea tena na mambo yako. Kenyans kichwani mpo zero.
Hao ndiyo wakenya, kama una njaa kamwe huwezi kupinga lolote linalofanywa na anayekuapa chakula, akijamba utasifia inanukia manukato, akitembea na mkeo, utasema mkeo ndiye mwenye kosa.Hapo unanirudishia mpira mimi tena? Nimeuliza swali? Jamaa anawaita baba yako na mama yako kuwa ni shitholes itakuwaje? Utachekelea na kusema huyu jamaa kasema poa kabisa.
Hata kama mpo na ugomvi na wazazi, mtu mwenye malezi ya maana ata mind.
Hahahaha, hamna kitu hapo msee, unadhani kina uhuruto wana uelewa wa hayo mambo sasa? Wao hata wazungu wakiwatia vidole mradi tu wanawapa msosi its OK, just OK.Lazima jamaa alirudi ofisi akakuta agizo la kumtaka aweke rekodi sawa. Kaitia aibu serikali ya Kenya.
Hahahaha, hamna kitu hapo msee, unadhani kina uhuruto wana uelewa wa hayo mambo sasa? Wao hata ukiwatia vidole mradi tu unawapa msosi its OK, just OK.
Najua hata hiyo kauli ya huyo msemaji wao imetokea kwa vinywa vya Uhurutos.
suala SIYO kuitwa, bali NAMNA ya kuitwa.Kuambiwa ukweli sio tusi. Ikiwa wewe ni kipofu, na mtu akuita..we kipofu njoo, je amekutusi au ndio sifa yako?
Asante sana kenya pigen kaz mtengeneze gari maana kwenye ndege nimewapa heko nyingi.
SASA anaongea nini kama HANA uhakika. ninyi ni mazuzu na majuha tu.
KAZI YENU ni kujipitisha pitisha tu kwa Trump. ndiyo maana mlikimbia kupiga kura ya kupinga uzwazwa wa Trump UN.
Ameulizwa swali msimamo wa serikali, sasa hana ushahidi wa hilo jambo angeanzaje kulaani kama nyie malofa wa Mkapa.
Kwa haya matusi yako nakupa grade ya E ungepata grade ya juu zaidi ila hujaweza kutumia 'imagination' yako vizuri. Afu umetumia emoji tano tu, very poor. Work harder.Ngoja nijaribu nione, wewe pingli-nywee ni mjinga, pumbavu na shoga, unaliwa nyuma[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Hivi dunia nzima ina uhakika kwamba amesema, hadi baadhi ya western countries ambazo ni rafiki wakubwa wa Marekani wamelaani na wana uhakika amesema, na hata Trump mwenyewe amekiri amesema, ila amejitetea kwamba kauli yake hiyo imechukuliwa tofauti, Kenya inataka uhakika upi?.Ameulizwa swali msimamo wa serikali, sasa hana ushahidi wa hilo jambo angeanzaje kulaani kama nyie malofa wa Mkapa.
lakini wamethubutukwenye ndege inayokufa. ahaaa haaa haaa