Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'

Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'

Waafrika wengi tuna 'low self esteem'. Hivi mtu akikuita mbwa mwitu, kisha ukaanza kuwashwawashwa ni kama una viroboto, si utakuwa ndo umempa ujasiri kabisa wa kukuita mbwa mwitu kichaa, mbwa mwitu mshenzi n.k?
Ngoja nijaribu nione, wewe pingli-nywee ni mjinga, pumbavu na shoga, unaliwa nyuma[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
So unategemea tutokwe na mipovu kwa kitu ambacho hakina ushahidi, hakuna hata mtu mmoja ameweka ushahidi wowote hadharani kwamba Trump kasema. Pangekua na ushahidi kama ule wa Mkapa kuwaita nyie malofa basi hapo tungetokwa na mipovu na kulaani na kulialia na kusema sema, lakini kwa sasa kila mtu amekurupuka na makelele bila ushahidi wowote.

Msemaji wa serikali alikua anajibu swali aliloulizwa kuhusu maoni yake ya hilo tusi, na akasema wazi kwamba wanalifanyia uchunguzi na hadi sasa hawajaona shida yoyote maana kiukweli hamna ushahidi zaidi ya dezo dezo, sasa ulitegemea afanye nini, alie au naye amtukane Trump.

SASA anaongea nini kama HANA uhakika. ninyi ni mazuzu na majuha tu.

KAZI YENU ni kujipitisha pitisha tu kwa Trump. ndiyo maana mlikimbia kupiga kura ya kupinga uzwazwa wa Trump UN.
 
Msemaji wa serikali alikuwa na nafasi nzuri ya kusema anapinga vikali kauli ya aina yoyote inayo dhalilisha bara la Afrika na Waafrika kwa ujumla. Kenya ilitakiwa kulaani aina yoyote ya matusi hata yale ambayo hayajatoka kinywani. Lakini kusema kama wao hawawezi kulaani eti kwa sababu hakuna ushahidi, mtu hashindwi kuona mnajipendekeza kwa Trump na si vinginevyo. Afrika Kusini, Botswana hata AU ambayo Tanzania iunga mkono wametaka maelezo ya kina kutoka serikali ya Marekani kuhusu swala hili

We back UN stance against Trump: Dar
 
Sass Kama unajua ukiambiwa ukweli siyo tusi kwanini umind kuitwa kipofu wakati wewe ni kipofu.think twice blood.

Narudia tena wanao mpinga trump hao ndiyo ma "shithole in did"
Mkuu kwani 'Shithole' kwa kiswahili ni nini? Labda tuanzie hapo tupate tofauti kati ya Shithole na Kipofu.
 
Hakusema hivyo alisema Africa countries ni shitholes. Hebu jaribu kujitetea tena na mambo yako. Kenyans kichwani mpo zero.
DT0ynwPWAAE565G.jpg

Lazima jamaa alirudi ofisi akakuta agizo la kumtaka aweke rekodi sawa. Kaitia aibu serikali ya Kenya.
 
Hapo unanirudishia mpira mimi tena? Nimeuliza swali? Jamaa anawaita baba yako na mama yako kuwa ni shitholes itakuwaje? Utachekelea na kusema huyu jamaa kasema poa kabisa.

Hata kama mpo na ugomvi na wazazi, mtu mwenye malezi ya maana ata mind.
Hao ndiyo wakenya, kama una njaa kamwe huwezi kupinga lolote linalofanywa na anayekuapa chakula, akijamba utasifia inanukia manukato, akitembea na mkeo, utasema mkeo ndiye mwenye kosa.

Kenya inahistoria hiyo tangu enzi za ukombozi wa africa, na haijabadilika hadi vizazi vya sasa vinafuata mkondo huo, hadi Kenya itakapokua na uwezo wa kuzalisha chakula bila kutegemea food donations, haiwezi kuwa huru wa kujiamulia mambo yake.

Tunamshukuru sana Mwalimu Nyerere kwa kutuchagulia siasa ya ujamaa na kujitegemea, leo tupo huru na tunajiamulia mambo yetu vile tunavyotaka, tuliweza kuwasaidia waafrica wenzetu waliokuwa wanauliwa na kudhalilishwa na wazungu, licha ya vitisho bingi na kukatiwa misaada na wazungu. Hili tunaloliona kwa jirani zetu, ni aibu kwa EA, ni aibu kwa bara la Africa na ni aibu kwa utu wa binadamu. Ila hiyo ndiyo Kenya ilivyo, a shit hole country.
 
Lazima jamaa alirudi ofisi akakuta agizo la kumtaka aweke rekodi sawa. Kaitia aibu serikali ya Kenya.
Hahahaha, hamna kitu hapo msee, unadhani kina uhuruto wana uelewa wa hayo mambo sasa? Wao hata wazungu wakiwatia vidole mradi tu wanawapa msosi its OK, just OK.
Najua hata hiyo kauli ya huyo msemaji wao imetokea kwa vinywa vya Uhurutos.
 
Hahahaha, hamna kitu hapo msee, unadhani kina uhuruto wana uelewa wa hayo mambo sasa? Wao hata ukiwatia vidole mradi tu unawapa msosi its OK, just OK.
Najua hata hiyo kauli ya huyo msemaji wao imetokea kwa vinywa vya Uhurutos.

Sio bure hao, kina Uhuruto kuna kitu wanalinda. Lazima wanafaidika personally na uhusiano wao na Marekani, Maana sio kwa kuvaa miwani ya mbao like this.
 
Asante sana kenya pigen kaz mtengeneze gari maana kwenye ndege nimewapa heko nyingi.
 
SASA anaongea nini kama HANA uhakika. ninyi ni mazuzu na majuha tu.

KAZI YENU ni kujipitisha pitisha tu kwa Trump. ndiyo maana mlikimbia kupiga kura ya kupinga uzwazwa wa Trump UN.

Ameulizwa swali msimamo wa serikali, sasa hana ushahidi wa hilo jambo angeanzaje kulaani kama nyie malofa wa Mkapa.
 
Ameulizwa swali msimamo wa serikali, sasa hana ushahidi wa hilo jambo angeanzaje kulaani kama nyie malofa wa Mkapa.

angesema no comments.

siyo kusema hamna shida.
 
Ngoja nijaribu nione, wewe pingli-nywee ni mjinga, pumbavu na shoga, unaliwa nyuma[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Kwa haya matusi yako nakupa grade ya E ungepata grade ya juu zaidi ila hujaweza kutumia 'imagination' yako vizuri. Afu umetumia emoji tano tu, very poor. Work harder.
 
Ameulizwa swali msimamo wa serikali, sasa hana ushahidi wa hilo jambo angeanzaje kulaani kama nyie malofa wa Mkapa.
Hivi dunia nzima ina uhakika kwamba amesema, hadi baadhi ya western countries ambazo ni rafiki wakubwa wa Marekani wamelaani na wana uhakika amesema, na hata Trump mwenyewe amekiri amesema, ila amejitetea kwamba kauli yake hiyo imechukuliwa tofauti, Kenya inataka uhakika upi?.

Trump alipoutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, kinyume na maazimio ya UN, ninyi si mlikimbia wakadi dunia nzima iliungana kumpinga, mkaja na maneno mengi ya kujitetea, ninyi hamna maamuzi kwa kuogopa kukatiwa misaada na Marekani, njaa ndiyo inawafanya muwe hivyo, jitahidini mjitosheleze kwa chakula ili muwe huru.
 
Back
Top Bottom