Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'

Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'

Ngoja nijaribu nione, wewe pingli-nywee ni mjinga, pumbavu na shoga, unaliwa nyuma[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Kwa haya matusi yako nakupa grade ya E, ungepata grade ya juu zaidi ila hujaweza kutumia 'imagination' yako vizuri. Afu umetumia emoji tano tu, very poor. Work harder. Kwa mfano, wewe joto la jiwe ni nungunungu ambaye ana jicho moja tu la kengeza afu ulizaliwa juu ya jiwe bila map®mb® na una fuzi za rangi ya zambarau kwenye makalio. 😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀 Umenielewa?
 
Hehehehe.... Mitanzania bana, wafuata mikumbo na kujaribu kuonekana hata nyie mpo, watu kama nyie ndio mnasababisha bora tuitwe shithole kabisa.

Hadi sasa hamna audio recording au ushahidi wowote kwamba Trump alitukana Afrika rasmi, yote ni dezo dezo za backstage rumors. Ikulu ya Marekani imetoa tamko na haijakiri chochote, sasa Miafrika tukianza kujifanya eti tumekerwa sana, mbona tusifanye kweli na kuwafukuza Wamarekani kutoka nchi zetu na kufunga balozi zao.......pambavu tu hamna lolote.

Japo pia kiana nahisi tunafaa kuitwa zaidi ya shithole hususan tunaotafuna binadamu kisa ni albino eti watatuongezea utajiri na kushinda kwenye uchaguzi.
Yaani leo umechemka sana dunia nzima hadi umoja wa mataifa Unhcr wamesikitishwa halafu unaona kama hakutukana! Aisee
 
Hehehehe.... Mitanzania bana, wafuata mikumbo na kujaribu kuonekana hata nyie mpo, watu kama nyie ndio mnasababisha bora tuitwe shithole kabisa.

Hadi sasa hamna audio recording au ushahidi wowote kwamba Trump alitukana Afrika rasmi, yote ni dezo dezo za backstage rumors. Ikulu ya Marekani imetoa tamko na haijakiri chochote, sasa Miafrika tukianza kujifanya eti tumekerwa sana, mbona tusifanye kweli na kuwafukuza Wamarekani kutoka nchi zetu na kufunga balozi zao.......pambavu tu hamna lolote.

Japo pia kiana nahisi tunafaa kuitwa zaidi ya shithole hususan tunaotafuna binadamu kisa ni albino eti watatuongezea utajiri na kushinda kwenye uchaguzi.
Toa ushahidi kwamba,TZ wanakula albino,acha tabia za kike
 
View attachment 679521

Government Spokesman Eric Kiraithe has said Kenya has no problem with an obscene word used by US President Donald Trump to describe African countries and Haiti.

Mr Kiraithe on Thursday told journalists that the statement by President Trump were not directed to Kenya.

“The statement was not an official matter that, say, is related to the relationship with the government. We enjoy a cordial relationship.

“We are studying the context in which these statements were made and see whether it is worth the attention,” he said.

MORE:Kenya reacts to Trump ‘racist’ remarks

Based on your history of kasumba ya kupaka kenya matope, I dont take whatever you post on face value. However on this issue, Trump as shady he is, he was right. Africa and some of the Caribbean countries-WE ARE SHIT HOLES. PERIOD. OUR LEADERS ARE DUMP HEADS, GREEDY AND CORRUPT TO HIGH HEAVENS. GOD HELP DELIVER AFRICAN SHIT HOUSES FROM OUR CLUELESS LEADERS.
 
Nchi ambayo sio kibaraka wamewazidi nini wakenya?
Wapo huru, wanaweza kuamua kufanya walipendalo, bora kuwa masikini huru kuliko tajiri mtumwa.Nchi zilipigania uhuru ili ziweze kujiamulia mambo yao.
 
Kenya huwa wako SMART sana!

kama exposure yako imeishia Nairobi, lazima utasema wako smart. lkn ukienda na nchi zingine unaweza kuwa na maoni tofauti.
Please fika Gaborone na Windhoek ndo utajua kumbe some countries in the continent are clever than the cleverer.
 
angesema no comments.

siyo kusema hamna shida.

Obviously amesema Kenya haina shida kwa sababu hilo tamko sio official, muwe mnasoma na kujaribu kuijiongeza bila kutegemea matapishi ya kutafsiriwa.
Kwa kifupi, hatuwezi kukurupuka maana
- Hamna ushahidi wowote
- Sio tamko rasmi au sera ya Marekani

Mkapa aliwaita nyie malofa tena hadharani mukaishia kumchekea na kukenua mimeno, leo hii munaskia fununu ambazo hazijathibitishwa kwamba Trump kasema baadhi nchi ni shithole, mnatokwa mipovu kwenye mitandao lakini hamkawii kupokea misaada yake, useless.
 
kama exposure yako imeishia Nairobi, lazima utasema wako smart. lkn ukienda na nchi zingine unaweza kuwa na maoni tofauti.
Please fika Gaborone na Windhoek ndo utajua kumbe some countries in the continent are clever than the cleverer.
Mbona umesahau kuitaja hometown Darislamu kwa wajanja?
 
Obviously amesema Kenya haina shida kwa sababu hilo tamko sio official, muwe mnasoma na kujaribu kuijiongeza bila kutegemea matapishi ya kutafsiriwa.
Kwa kifupi, hatuwezi kukurupuka maana
- Hamna ushahidi wowote
- Sio tamko rasmi au sera ya Marekani

Mkapa aliwaita nyie malofa tena hadharani mukaishia kumchekea na kukenua mimeno, leo hii munaskia fununu ambazo hazijathibitishwa kwamba Trump kasema baadhi nchi ni shithole, mnatokwa mipovu kwenye mitandao lakini hamkawii kupokea misaada yake, useless.

Kwa hiyo kwa akili yako dunia nzima ilikuwa iki react kwenye fununu, vyombo vya habari nk, vyote vilikuwa vinaongelea kitu ambacho hakipo???
 
duu kweli jamaa angu, muda siyo mrefu tutafunga maofisi halafu twende kula bata aaam aaam aaaam.
Hujafunga ofisi hadi sasa hivi jombaa? Kweli wewe mtumwa kwenye shithole country. Wengine wetu tulianza kula bata mida ya saa nane. Inaitwa Naairobee!
 
Kwa hiyo kwa akili yako dunia nzima ilikuwa iki react kwenye fununu, vyombo vya habari nk, vyote vilikuwa vinaongelea kitu ambacho hakipo???

Mimi sizungumzii kuhusu dunia nzima, nazungumza kuhusu wewe hapo na ubongo wako naomba uutumie bila kutegemea dunia, jiulize maswali ya msingi, kwamba ushahidi uko wapi Trump katukana, pili sera ya Marekani kwa mataifa ya Afrika iko vipi, tatu ikulu ya Marekani haijakiri hilo jambo, sasa mbona akina yakhee walalahoi wa Dar es Salaam wanapiga makelele utadhani wametajwa sehemu.

Ukurupukaji ndio ujinga, hata kama Pope akishutumu, siwezi nikafuata mkumbo bila kuiskia walau audio, au video au ushahidi wowote, au Trump mwenyewe akubali alisema, yaani chochote cha kuunganisha, sasa msemaji wa serikali ameulizwa msimamo, akasema Kenya haina shida kisa haijakumbana na tamko hilo kirasmi, hivyo mlitegemea yeye atukane au alaani kitu ambacho hamna ushahidi wowote.

Mnavyokurupuka kwa hili jambo mnadhihirisha ushithole wa Kiafrika, nilikua nasoma comments za wazungu sehemu, wanatukana balaa, kwanza wanatumia maneno mazito zaidi ya anayosemekana kuyatumia Trump, yote hii wanafanya kisa mumepiga makelele kwa kitu ambacho hamuna uhakika nacho. Hivyo wanafurahi kupata attention.
 
Kenya ni kama vile Colombia kipindi Venezuela, Bolivia ,Brazil,Ecuador,Cuba ,Argentina walivyoungana kupinga anti imperialism ...Colombia walikuwa wanaramba miguu ya USA na kuwapinga Latin America wenzao kila wanachosimamia

ndio kama sasa Kenya ilivyo wanajipendekeza pendekeza kwa Trump kama vile Cyprian Musiba
 
Back
Top Bottom