Msemaji wa simba akiri mashabiki wa simba huchangia kujaza viwanja mechi za yanga, Je simba haiwaridhishi??

Msemaji wa simba akiri mashabiki wa simba huchangia kujaza viwanja mechi za yanga, Je simba haiwaridhishi??

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC

1632334156432.png

HITIMISHO

1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina 😀😀

2. Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game za Yanga

3. Mashabiki wengi kwenye game za Yanga wanavaa jezi za yanga, kwahio hao mashabiki wa simba walioenda mechi za yanga walikuwa wanavaa Jezi za Yanga.

4. Kama wanapenda mpira Mbona hawaendi kwenye mechi za azam , namungo, kmc, biashara united n.k ambazo zimeshikilia nafasi za mwisho kwenye mauzo ya tiketi, Ni wazi walikuwa wanapenda kwenda kuangalia mpira wa Yanga tu.

5. Miili inalazilimika kuwa simba ila akili na moyo upo yanga
 
Ndio mashabiki wa Simba walikua wakienda kuangalia vitu ambavyo Simba hakuna.
mfano:1)Yanga wanawezaje kucheza kung-fu ndani ya uwanja.
2)Msimu uliokwisha Yanga waliwezaje kucheza mpira bila kuwa na formation ndani ya uwanja.
 
Pengine umepata nguvu ya kusema haya kwa sababu msemaji ametumia lugha chanya kueleza ukweli ulivyo.

Ungeweza kusema mashabiki wa yanga wengi hawapendi mpira bali wanapenda timu hivyo huwa hawaingii mechi za Simba.
Wengi wanaogopa kuaibika kwani walikuwa na uhakika Simba itashinda tu.

Hili lipo hata mitaani ambapo mashabiki wa Yanga wanaangalia mechi za Simba kwa siri majumbani kwao wakisikia Simba amefungwa ndipo wanakurupuka kuja public ili kuzomea.Washabiki wa Simba wao huangalia mechi zote.

Suala la ubora hata akili yako inajua
View attachment 1948760

Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina [emoji3][emoji3] [emoji3][emoji3]
 
Walikua wanakwenda kuzomea hadi uto wanarusha ngumi
 
Mechi nyingi za Simba zilijaa ubebwaji wa kijinga toka Kwa waamuzi hivyo kupoteza msisimko wa kiushindan hali iliyowapotezea ham hata mashabiki wao.
 
Ungeweza kusema mashabiki wa yanga wengi hawapendi mpira bali wanapenda timu
Mashabiki wa yanga wanapenda mno mpira mkuu, kumbuka hata siku ya mwananchi, walijaza mapema tu bila hata klabu kulipa clouds fm mamiliojni ya pesa kama walivyofanya simba
 
Pengine umepata nguvu ya kusema haya kwa sababu msemaji ametumia lugha chanya kueleza ukweli ulivyo.

Ungeweza kusema mashabiki wa yanga wengi hawapendi mpira bali wanapenda timu hivyo huwa hawaingii mechi za Simba.
Wengi wanaogopa kuaibika kwani walikuwa na uhakika Simba itashinda tu.

Hili lipo hata mitaani ambapo mashabiki wa Yanga wanaangalia mechi za Simba kwa siri majumbani kwao wakisikia Simba amefungwa ndipo wanakurupuka kuja public ili kuzomea.Washabiki wa Simba wao huangalia mechi zote.

Suala la ubora hata akili yako inajua
Siyo mtaani tu hata kwenye hili jukwaa utopolo huwaoni mpaka timu yao ishinde au simba kufungwa
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Hii ni katika kuwafumba Utopolo wasihoji kuhusu kutolewa klabu bingwa
Washabiki wa Yanga hawahoji kutolewa Kimataifa kwakuwa wameridhika na matokeo na ujio wa Manara

Wanajua kiwango cha timu yao.

Sasa wahoji nini tena
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Yaani yanga na viongozi wake kwa kushangilia upuuzi wakitoka hapo watahamia kwa morison
 
Ndio mashabiki wa Simba walikua wakienda kuangalia vitu ambavyo Simba hakuna.
mfano:1)Yanga wanawezaje kucheza kung-fu ndani ya uwanja.
2)Msimu uliokwisha Yanga waliwezaje kucheza mpira bila kuwa na formation ndani ya uwanja.
Huo Ni ujinga wakati mwingine msipende kubisha kila kitu .Mkizidiwa kwa kitu fulani mkili na kujipanga kwa badae .Najua hata jumamosi Tarehe 25/9/2021 Simba akifungwa mtatoa sababu kibao huo ni upuuzi ubishi wa kijinga ukweli unaujua ila unabisha tu kujifurahisha.Shame on u mashabiki wa SSC

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC

View attachment 1948760

MASWALI..

1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina 😀😀

2. Kwahiyo Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game za Yanga?

3. Mashabiki wengi kwenye game za Yanga wanavaa jezi za yanga!? kwahio hao mashabiki wa simba waliokaza mechi za yanga walikuwa wanavaa Jezi za Yanga ?

4. Kama wanapenda mpira Mbona hawaendi kwenye mechi za azam , namungo, kmc, biashara united n.k ambazo zimeshikilia nafasi za mwisho kwenye mazo ya tiketi?

5. Je miili ipo simba ila akili ipo yanga??
Mightier a.k.a Poisonous Ana majibu kamili
 
Pengine umepata nguvu ya kusema haya kwa sababu msemaji ametumia lugha chanya kueleza ukweli ulivyo.

Ungeweza kusema mashabiki wa yanga wengi hawapendi mpira bali wanapenda timu hivyo huwa hawaingii mechi za Simba.
Wengi wanaogopa kuaibika kwani walikuwa na uhakika Simba itashinda tu.

Hili lipo hata mitaani ambapo mashabiki wa Yanga wanaangalia mechi za Simba kwa siri majumbani kwao wakisikia Simba amefungwa ndipo wanakurupuka kuja public ili kuzomea.Washabiki wa Simba wao huangalia mechi zote.

Suala la ubora hata akili yako inajua
Kama wanaogopa matokeo wasingeenda kuiangalia timu yao.
Usipende kushikiwa akili na viongozi wasio na uweledi. Mimi ni Yanga damu na nikiwa Dar sikosi mechi ya Simba na nime-subscribe pages zote za Simba.
Mashabiki wa Simba ni mtaji kwa Yanga na mashabiki wa Yanga ni mtaji kwa Simba. Tofauti ni ndogo sana, less than 5%. Hizi timu, kibiashara zinategemeana na huo upuuzi anaowaambia Mo Dewji eti Simba ni 70% huwa unaaminiwa na mashabiki maandazi wa Simba, hata Bodi ya Simba haiamini hivyo.
Yanga ni timu kubwa, subiri iwe organized.
 
Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC

View attachment 1948760

MASWALI..

1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina [emoji3][emoji3]

2. Kwahiyo Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game za Yanga?

3. Mashabiki wengi kwenye game za Yanga wanavaa jezi za yanga!? kwahio hao mashabiki wa simba waliokaza mechi za yanga walikuwa wanavaa Jezi za Yanga ?

4. Kama wanapenda mpira Mbona hawaendi kwenye mechi za azam , namungo, kmc, biashara united n.k ambazo zimeshikilia nafasi za mwisho kwenye mazo ya tiketi?

5. Je miili ipo simba ila akili ipo yanga??
Unaenda kuzomea wakifungwa, full stop.
 
Kwa sasa hata iweje washabiki wa Yanga bado ni wengi, ingawa hawaingii sana uwanjani hadi itangazwe wanaingia bure

Refer wakati wa Manji alipotangaza kiingilio bure kati ya Yanga na timu flani hivi.
Ulijaa umati wa watu Yanga wangeweza kujaza viwanja vitatu kama cha Mkapa.
Ule umati sijawahi kuushuhudia popote.

Ila wanaenda kuzidiwa hivi karibuni kutokana na matokeo ya hizo timu mbili.
Kizazi cha sasa kingi kinahamia Simba sc.

Simba bado ni wachache ila wanaingia wengi uwanjani.
Msimu uliopita wengi walikuwa wanaenda kuangalia mechi za Kimataifa za Simba, kupita zile za Simba na Ruvu Shooting.
 
Hizo takwimu za uongo tu, timu zinapika takwimu ili kukwepa Kodi. Msemaji kaonge a tu Ila anajua wazi hakuna ukweli wowote
 
Hizo takwimu za uongo tu, timu zinapika takwimu ili kukwepa Kodi. Msemaji kaonge a tu Ila anajua wazi hakuna ukweli wowote
umeomgea kwa uchungu sana mkuu 😂😂😂😜😜
 
Back
Top Bottom