escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Yanga walikuwa wanapiga pira mnato, kisheti, sugar sukari kiasi kwamba makolo wakakosa hamu ya kuangalia mechi zao ikabidi wafarijiwe na mechi za Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hicho kitu bora kutoka Yanga kwenye misimu 4 mfululizo Ni kipi.Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC
View attachment 1948760
HITIMISHO
1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina [emoji3][emoji3]
2. Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game za Yanga
3. Mashabiki wengi kwenye game za Yanga wanavaa jezi za yanga, kwahio hao mashabiki wa simba walioenda mechi za yanga walikuwa wanavaa Jezi za Yanga.
4. Kama wanapenda mpira Mbona hawaendi kwenye mechi za azam , namungo, kmc, biashara united n.k ambazo zimeshikilia nafasi za mwisho kwenye mauzo ya tiketi, Ni wazi walikuwa wanapenda kwenda kuangalia mpira wa Yanga tu.
5. Miili inalazilimika kuwa simba ila akili na moyo upo yanga
Akili zako kisoda kweli.Unataka tumhoji nan wakati mpira tumeangalia wote na tumefungwa.Hii ni katika kuwafumba Utopolo wasihoji kuhusu kutolewa klabu bingwa