Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC
View attachment 1948760
HITIMISHO
1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina [emoji3][emoji3]
2. Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game za Yanga
3. Mashabiki wengi kwenye game za Yanga wanavaa jezi za yanga, kwahio hao mashabiki wa simba walioenda mechi za yanga walikuwa wanavaa Jezi za Yanga.
4. Kama wanapenda mpira Mbona hawaendi kwenye mechi za azam , namungo, kmc, biashara united n.k ambazo zimeshikilia nafasi za mwisho kwenye mauzo ya tiketi, Ni wazi walikuwa wanapenda kwenda kuangalia mpira wa Yanga tu.
5. Miili inalazilimika kuwa simba ila akili na moyo upo yanga