GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi GENTAMYCINE ambaye ni mwana Simba SC Mwenzako tena 'Kindakindaki' kabisa naweka hapa sababu ya 'Kipondo' chetu cha Jana
1. Wachezaji wa Simba SC wameshabweteka na wanajiona ni FC Barcelona ya Tanzania wakati hata hawajafikia 15% yao tu
2. Kocha wa Makipa wa Simba SC Mwarami Mohamed ni tatizo kwani hamsaidii Kipa Manula kurekebisha Mapungufu yake
3. Simba SC haina Stamina na Wachezaji pamoja na Benchi la Ufundi hawakujiandaa mapema kucheza Kikakamavu na Prisons FC
4. Kupangwa kwa Beki Kiraka Erasto Nyoni ambaye sasa amekwisha na Jana alipwaya sana kumechochea Kipondo kile cha Kijeda
5. Kocha wa Simba SC ama ni Mbishi Timu ikicheza Mechi za nje ya Dar es Salaam au Benchi la Ufundi halimpi Ushirikiano Kamili
6. Kutowachezesha Wachezaji au kufanya 'Rotation' ili Kulinda Vipaji vyao na kuwaweka tayari ni sababu Timu Kusuasua Kimchezo
7. Tuache Kuwekeza sana katika Kamati za Ufundi za Jadi ( Ushirikina ) bali tuwekeze Timu yetu ya Simba SC 'Kisayansi' zaidi
Nimesikitika mno tu kuona Mitandaoni Msemaji wa Simba SC yetu Haji Manara 'akimlaumu' Mwamuzi ( Referee ) wa Jana wakati alitubeba Kidakika.