Msemaji wa Simba Haji Manara acha Uongo, Uzushi na Kupotosha kwa Kumpelekea 'Lawama' Mwamuzi wa Jana Sumbawanga

Msemaji wa Simba Haji Manara acha Uongo, Uzushi na Kupotosha kwa Kumpelekea 'Lawama' Mwamuzi wa Jana Sumbawanga

Je simba ingeshinda haya ya refa kulalamikiwa yangekuwepo?
Timu ikipigwa tukubali tu maana hizi sababu hazijawahi saidia chochote.
Safi sana Mkuu umenena vyema na tulio katika Soka la Bongo tunajua kwanini Simba SC mwaka jana ilibeba 'Ubingwa' ila tunaamua 'Kuuchuna' tu.
 
Na iwapo timu zitacheza mchezo wa nguvu na rafu namna hii bila kadi yoyote kutolewa,itasababisha kiwango cha mpira kushuka kwani timu zitakuwa zinasajili watabe tu ili zishinde,na mkienda kimataifa na approach hii,mnapigwa kadi na kushindwa kirahisi
'Hoja' yako hii ni ya 'Kipumbavu' sana na mno Mkuu na sidhani kwa 'JF Member' ambaye ni 'Great Thinker' angeweza kuja nayo hivi hapa Jamvini.
 
Sihitaji 'Kufanana' na 'Wachambuzi' wenu 'Uchwara' ila ninachojua Simba SC tulistahili 'Kichapo' kile kwakuwa Timu ilicheza 'Vibaya' kuliko maelezo.
Hakuna asiyebisha timu ilicheza vibaya ingawa makosa yalianzia toka upangaji lakini lazima tuseme mapungufu ya refa kwa faida ya baadae.
Huyu refa aliharibu mechi ya kagera na yanga alichukuliwa hatua gani zaidi ya kutetewa na kiongozi wa juu wa marefa lakini juzi alifanya makosa ya wazi kabisa kuachia rafu bila kutoa kadi au kupiga filimbi mechi na kagera alitoa penati kwa kosa lililofanyika nje ya box lakini mechi hii hakutoa penati kwa mechi iliyofanyika mbele yake tukiacha uozo wa namna hii tunatengeneza maafa
 
😂😂😂😂 sema refa alizengua zile zilikuwa clear penati.

Mda kupitiliza ikumbukwe wachezaji wazee wa kwata plus gwaride walikuwa wanapoteza mda
usisahau kuimba kupokezana kwani Liverpool msimu uliopta VAR iliwabeba sana lakini sasahivi imekuaje ndo akwanza kuandika barua kwa chama cha soka eti tunaomba maelekezo ya kunyimwa ushindi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Neno upungufu halina wingi,hivyo ni makosa kusema mapungufu,ni upungufu liwe moja na ni upungufu yakiwa mengi
Hebu jadili 'Mada' Wewe 'Mpuuzi' na kama ni 'Bingwa' mno wa Kiswahili Kafudishe huko nchini Botswana. Mwaisela na Kibasila zote ni Muhimbili tu.
 
Hakuna asiyebisha timu ilicheza vibaya ingawa makosa yalianzia toka upangaji lakini lazima tuseme mapungufu ya refa kwa faida ya baadae.
Huyu refa aliharibu mechi ya kagera na yanga alichukuliwa hatua gani zaidi ya kutetewa na kiongozi wa juu wa marefa lakini juzi alifanya makosa ya wazi kabisa kuachia rafu bila kutoa kadi au kupiga filimbi mechi na kagera alitoa penati kwa kosa lililofanyika nje ya box lakini mechi hii hakutoa penati kwa mechi iliyofanyika mbele yake tukiacha uozo wa namna hii tunatengeneza maafa
usisahau kuwa simba msimu ule mlibebwa sana na marefa sasa ni kuwa mpole tu
 
Matokeo ya ile mechi hayawezi kubadirika lakini yule refa ama amepewa rushwa au kiwango duni ungefatilia uchambuzi wa kipenga cha mwisho youtube ungeona madhaifu yake kwani clip inaonywesha na kuchambuliwa
Sioni na sijaona tatizo lolote la 'Mwamuzi' yule na kama lipo basi litakuwa ni lile tu 'Kuipendelea' Simba SC kwa Kuiongezea dakika Nne zaidi ile Juzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema refa alizengua zile zilikuwa clear penati.

Mda kupitiliza ikumbukwe wachezaji wazee wa kwata plus gwaride walikuwa wanapoteza mda
wewe uliangalia mpira au unaongea tu. ukiachana na hizo penalties, prison walikuwa wancheza sana rafu lakini kadi refa alikuwa hatoi.
 
Kufungwa tumefungwa Ila Penalty tumenyimwa haina ubishi..Ila hatuwalaumu TFF wala hatuamii tunisia
Sijaona 'Penati' yoyote ile Simba SC yangu ( yetu ) tumenyimwa ile Juzi ila nilichokiona tu ni 'Mwamuzi' kutupendelea na Kutuzidishia dakika 4 zaidi.
 
Hakuna asiyebisha timu ilicheza vibaya ingawa makosa yalianzia toka upangaji lakini lazima tuseme mapungufu ya refa kwa faida ya baadae.
Huyu refa aliharibu mechi ya kagera na yanga alichukuliwa hatua gani zaidi ya kutetewa na kiongozi wa juu wa marefa lakini juzi alifanya makosa ya wazi kabisa kuachia rafu bila kutoa kadi au kupiga filimbi mechi na kagera alitoa penati kwa kosa lililofanyika nje ya box lakini mechi hii hakutoa penati kwa mechi iliyofanyika mbele yake tukiacha uozo wa namna hii tunatengeneza maafa
'Kudekadeka' hovyo hivi kwa Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC ndiyo 'tunawavimbisha' Vichwa 'Wachezaji' wetu na tukienda 'Klabu Bingwa' tunaaibika.
 
Nimecheza Mpira tena wa 'Kiwango' kizuri tu japo cha Shuleni, Vyuoni na Ligi za awali hivyo nikisemacho hapa 'Kiufundi' nina 'uhakika' nacho sana.
kitu gani cha ufundi umeongea hapo. kujua penalty kunahitaji ufundi? penalty ili ipatikane ni denying goal scoring opportunity ndani ya box. sasa hapo unahitaji kucheza mpira level gani ili ujue
 
usisahau kuwa simba msimu ule mlibebwa sana na marefa sasa ni kuwa mpole tu
Na muongezee pia kuwa hata ile Mechi tuliyowafunga Yanga SC 4-1 katika ASFC wenye Simba SC na 'tunaoijua' tunajua pia nini Kilifanyika kwa nje.
 
wewe uliangalia mpira au unaongea tu. ukiachana na hizo penalties, prison walikuwa wancheza sana rafu lakini kadi refa alikuwa hatoi.
Kuna 'Goli / Bao' lolote lile labda Simba SC yetu 'ilifunga' na huyu 'Mwamuzi' tunayemlaumu 'Kinafiki' hivi akalikataa? Tukubali tu Jamaa walituweza.
 
kitu gani cha ufundi umeongea hapo. kujua penalty kunahitaji ufundi? penalty ili ipatikane ni denying goal scoring opportunity ndani ya box. sasa hapo unahitaji kucheza mpira level gani ili ujue
Na kwa Kukusaidia tu sikuishia Kuucheza huo Mpira bali pia nimeshiriki tena sana katika Michezo ya Hatari ili tu Kuisaidia hii Simba SC yako ishinde.
 
Back
Top Bottom