Msemaji wa Simba Haji Manara acha Uongo, Uzushi na Kupotosha kwa Kumpelekea 'Lawama' Mwamuzi wa Jana Sumbawanga

Msemaji wa Simba Haji Manara acha Uongo, Uzushi na Kupotosha kwa Kumpelekea 'Lawama' Mwamuzi wa Jana Sumbawanga

Hakuna asiyebisha timu ilicheza vibaya ingawa makosa yalianzia toka upangaji lakini lazima tuseme mapungufu ya refa kwa faida ya baadae.
Huyu refa aliharibu mechi ya kagera na yanga alichukuliwa hatua gani zaidi ya kutetewa na kiongozi wa juu wa marefa lakini juzi alifanya makosa ya wazi kabisa kuachia rafu bila kutoa kadi au kupiga filimbi mechi na kagera alitoa penati kwa kosa lililofanyika nje ya box lakini mechi hii hakutoa penati kwa mechi iliyofanyika mbele yake tukiacha uozo wa namna hii tunatengeneza maafa
Hivi kwanini Simba na yanga huwa hamkubali kufungwa
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...


Cc: mahondaw
Leo Mtu ambaye nilihatarisha hadi Maisha yangu 'Kuipigania' Simba SC 'Kifitna' Uwanja wa Uhuru ikicheza na Enyimba nikiwa na Juma Nkamia ( Former MP ) na Mzee wa Kujitoa Mhanga Kassim Dewji ( KD ) naambiwa ni mwana Yanga SC na kuitwa 'Msaliti' eti kwakuwa tu sijaunga mkono 'Wapuuzi' wengi wanaosema kuwa Simba SC juzi 'tulionewa' pale Sumbawanga na kwamba 'Mwamuzi' Yule 'anatuchukia' mno na 'Katuua' pia.
 
Kuna 'Goli / Bao' lolote lile labda Simba SC yetu 'ilifunga' na huyu 'Mwamuzi' tunayemlaumu 'Kinafiki' hivi akalikataa? Tukubali tu Jamaa walituweza.
kwani makosa ya refa yapo kwenye kukataa bao la wazi tu? tunaongelea matukio ya yellow card na penalties
 
Matokeo ya ile mechi hayawezi kubadirika lakini yule refa ama amepewa rushwa au kiwango duni ungefatilia uchambuzi wa kipenga cha mwisho youtube ungeona madhaifu yake kwani clip inaonywesha na kuchambuliwa
Cha muhimu ni kuandaa tumu ipambane katika kila uwanja na katika kila hali.

Haya maswala ya refa hata England marefa wa hivo wapo lakini bado wanaaminika .

Cha muhimu ni kushinda tu, kumchambua refa huyu ana makosa na wakati timu ishapoteza point hata hakuleti mantiki yoyote.
 
Huyo ana maneno kushinda hata mtoto wa kike mpaka mkewe kamkimbia!
 
Na iwapo timu zitacheza mchezo wa nguvu na rafu namna hii bila kadi yoyote kutolewa,itasababisha kiwango cha mpira kushuka kwani timu zitakuwa zinasajili watabe tu ili zishinde,na mkienda kimataifa na approach hii,mnapigwa kadi na kushindwa kirahisi
Wewe umechekewa, Chelsea ya Morinyo ya kina Mikel Obi ilikuwa inapiga viatu si mchezo na timu yao ilitisha kwa ubora.
 
Ile mechi kwa uchezaji wa nguvu wa PRISON pale kati Angecheza Mkude+Mzamiru kama wakabaji sio Dilunga+Mkude.

Bwalya angebaki kuchezesha timu.. halafu kingine Striker Ilamfya hakuwa na mchezo mzuri.

marefa tusiwalaumu sana Prison walikaba vzr.. MORRISON anacheza kistaa kama yuko Barcelona na benchi atakaa sana
 
Cha muhimu ni kuandaa tumu ipambane katika kila uwanja na katika kila hali.

Haya maswala ya refa hata England marefa wa hivo wapo lakini bado wanaaminika .

Cha muhimu ni kushinda tu, kumchambua refa huyu ana makosa na wakati timu ishapoteza point hata hakuleti mantiki yoyote.
Huwa 'nawapenda' sana 'Wachangiaji' wenye 'Akili' pamoja na 'Upoeo' mkubwa hasa wa 'Kimtizamo' kama Wewe Mkuu na baadhi yenu tu hapa JF.
 
kitu gani cha ufundi umeongea hapo. kujua penalty kunahitaji ufundi? penalty ili ipatikane ni denying goal scoring opportunity

Leo Mtu ambaye nilihatarisha hadi Maisha yangu 'Kuipigania' Simba SC 'Kifitna' Uwanja wa Uhuru ikicheza na Enyimba nikiwa na Mwigulu Nchemba ( Former MP ) na Mzee wa Kujitoa Mhanga Kassim Dewji ( KD ) naambiwa ni mwana Yanga SC na kuitwa 'Msaliti' eti kwakuwa tu sijaunga mkono 'Wapuuzi' wengi wanaosema kuwa Simba SC juzi 'tulionewa' pale Sumbawanga na kwamba 'Mwamuzi' Yule 'anatuchukia' mno na 'Katuua' pia.
Wewe ni yanga Simba upo kimaslahi tangu lini mwigulu nchemba akaitakia mema Simba
 
Mimi GENTAMYCINE ambaye ni mwana Simba SC Mwenzako tena 'Kindakindaki' kabisa naweza hapa sababu ya 'Kipondo' chetu cha Jana

1. Wachezaji wa Simba SC wameshabweteka na wanajiona ni FC Barcelona ya Tanzania wakati hata hawajafikia 15% yao tu
2. Kocha wa Makipa wa Simba SC Mwarami Mohamed ni tatizo kwani hamsaidii Kipa Manula kurekebisha Mapungufu yake
3. Simba SC haina Stamina na Wachezaji pamoja na Benchi la Ufundi hawakujiandaa mapema kucheza Kikakamavu na Prisons FC
4. Kupangwa kwa Beki Kiraka Erasto Nyoni ambaye sasa amekwisha na Jana alipwaya sana kumechochea Kipondo kile cha Kijeda
5. Kocha wa Simba SC ama ni Mbishi Timu ikicheza Mechi za nje ya Dar es Salaam au Benchi la Ufundi halimpi Ushirikiano Kamili
6. Kutowachezesha Wachezaji au kufanya 'Rotation' ili Kulinda Vipaji vyao na kuwaweka tayari ni sababu Timu Kusuasua Kimchezo
7. Tuache Kuwekeza sana katika Kamati za Ufundi za Jadi ( Ushirikina ) bali tuwekeze Timu yetu ya Simba SC 'Kisayansi' zaidi

Nimesikitika mno tu kuona Mitandaoni Msemaji wa Simba SC yetu Haji Manara 'akimlaumu' Mwamuzi ( Referee ) wa Jana wakati alitubeba Kidakika.
Nakubaliana na Manara na Wewe mtoa maada kwenye baadhi hoja zako
 
Hujawahi Kumfunga Yanga SC bila kufanya Mchezo 'Mchafu' kwa Wachezaji wake na usitake ukanifanya nimwage 'Siri' hapa kisha mkashangaa pia.
Acha ujuaji mkuu unakijua wanacho kifanyaga yanga ili wapate ushindi au wao walicho kifanya siku ile ili wa win ile game.
 
Back
Top Bottom