Jjmwaipopo
Senior Member
- Jan 11, 2020
- 189
- 122
Tatizi simba wamezoea kubebwa Morrison kwisha habari babu Onyango alikuwa alishindwa kuhimili mikimiki ya vijana wa Prison hivi Sawa hao Mikia hawana kipa mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli utakuweka huru.Mimi GENTAMYCINE ambaye ni mwana Simba SC Mwenzako tena 'Kindakindaki' kabisa naweza hapa sababu ya 'Kipondo' chetu cha Jana
1. Wachezaji wa Simba SC wameshabweteka na wanajiona ni FC Barcelona ya Tanzania wakati hata hawajafikia 15% yao tu
2. Kocha wa Makipa wa Simba SC Mwarami Mohamed ni tatizo kwani hamsaidii Kipa Manula kurekebisha Mapungufu yake
3. Simba SC haina Stamina na Wachezaji pamoja na Benchi la Ufundi hawakujiandaa mapema kucheza Kikakamavu na Prisons FC
4. Kupangwa kwa Beki Kiraka Erasto Nyoni ambaye sasa amekwisha na Jana alipwaya sana kumechochea Kipondo kile cha Kijeda
5. Kocha wa Simba SC ama ni Mbishi Timu ikicheza Mechi za nje ya Dar es Salaam au Benchi la Ufundi halimpi Ushirikiano Kamili
6. Kutowachezesha Wachezaji au kufanya 'Rotation' ili Kulinda Vipaji vyao na kuwaweka tayari ni sababu Timu Kusuasua Kimchezo
7. Tuache Kuwekeza sana katika Kamati za Ufundi za Jadi ( Ushirikina ) bali tuwekeze Timu yetu ya Simba SC 'Kisayansi' zaidi
Nimesikitika mno tu kuona Mitandaoni Msemaji wa Simba SC yetu Haji Manara 'akimlaumu' Mwamuzi ( Referee ) wa Jana wakati alitubeba Kidakika.
umesikia kama muamuzi wa mechi ya simba na prison amefunguwa miezi 12? au ameonewa? kwenye ukweli tuongee ukweli huyu jamaa aliharibu sanaMimi GENTAMYCINE ambaye ni mwana Simba SC Mwenzako tena 'Kindakindaki' kabisa naweka hapa sababu ya 'Kipondo' chetu cha Jana
1. Wachezaji wa Simba SC wameshabweteka na wanajiona ni FC Barcelona ya Tanzania wakati hata hawajafikia 15% yao tu
2. Kocha wa Makipa wa Simba SC Mwarami Mohamed ni tatizo kwani hamsaidii Kipa Manula kurekebisha Mapungufu yake
3. Simba SC haina Stamina na Wachezaji pamoja na Benchi la Ufundi hawakujiandaa mapema kucheza Kikakamavu na Prisons FC
4. Kupangwa kwa Beki Kiraka Erasto Nyoni ambaye sasa amekwisha na Jana alipwaya sana kumechochea Kipondo kile cha Kijeda
5. Kocha wa Simba SC ama ni Mbishi Timu ikicheza Mechi za nje ya Dar es Salaam au Benchi la Ufundi halimpi Ushirikiano Kamili
6. Kutowachezesha Wachezaji au kufanya 'Rotation' ili Kulinda Vipaji vyao na kuwaweka tayari ni sababu Timu Kusuasua Kimchezo
7. Tuache Kuwekeza sana katika Kamati za Ufundi za Jadi ( Ushirikina ) bali tuwekeze Timu yetu ya Simba SC 'Kisayansi' zaidi
Nimesikitika mno tu kuona Mitandaoni Msemaji wa Simba SC yetu Haji Manara 'akimlaumu' Mwamuzi ( Referee ) wa Jana wakati alitubeba Kidakika.
Kuna wengine wanapost ili mradi kujaza server yule mwamuzi hana uwezo wa kuchezeshaumesikia kama muamuzi wa mechi ya simba na prison amefunguwa miezi 12? au ameonewa? kwenye ukweli tuongee ukweli huyu jamaa aliharibu sana
anataka kuonekana kwa watu kuwa mkweli na hana upendeleo kumbe anaharibu.Kuna wengine wanapost ili mradi kujaza server yule mwamuzi hana uwezo wa kuchezesha
Kwa maneno yako haufananii na mpenzi wa Simba! Waache wenye timu yao waiongelee! Kama ni mtani wa mnyama sema tu wazi. Mechi ya kwanza Yanga walifanya vizuri 45 min za mwanzo kipindi cha 2 walichemsha. Juzi walicheza tu 15 min. Baada ya hapo walicheza gwaride la kusukuma na kurusha mateke!Sihitaji 'Kufanana' na 'Wachambuzi' wenu 'Uchwara' ila ninachojua Simba SC tulistahili 'Kichapo' kile kwakuwa Timu ilicheza 'Vibaya' kuliko maelezo.
You're a dame Fool...!!Kwa maneno yako haufananii na mpenzi wa Simba! Waache wenye timu yao waiongelee! Kama ni mtani wa mnyama sema tu wazi. Mechi ya kwanza Yanga walifanya vizuri 45 min za mwanzo kipindi cha 2 walichemsha. Juzi walicheza tu 15 min. Baada ya hapo walicheza gwaride la kusukuma na kurusha mateke!