GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Hujawahi Kumfunga Yanga SC bila kufanya Mchezo 'Mchafu' kwa Wachezaji wake na usitake ukanifanya nimwage 'Siri' hapa kisha mkashangaa pia.Tulibebwa mpaka tukawafunga nne ina wachezaji kibao mkawaacha
Ukitaka kujua tu zile Goli Nne 'ulizomfunga' Yanga SC katika ASFC watafute akina Tshishimbi, Yondan, Abdul na Morisson tuliyenae sasa Simba SC.Kila mtu ana ufahamu na uelewa wake ndio maana kuna iq kubwa na ndogo
Asante Mkuu kuna Watu wanataka tu Kuyasikia yale 'wayatakayo' ila ukiwa tu 'Changamoto' ya 'Kimtazamo' wanaanza Kukuchukia na kuona Msaliti.Pole mkubwa
Hivi kwanini Simba na yanga huwa hamkubali kufungwaHakuna asiyebisha timu ilicheza vibaya ingawa makosa yalianzia toka upangaji lakini lazima tuseme mapungufu ya refa kwa faida ya baadae.
Huyu refa aliharibu mechi ya kagera na yanga alichukuliwa hatua gani zaidi ya kutetewa na kiongozi wa juu wa marefa lakini juzi alifanya makosa ya wazi kabisa kuachia rafu bila kutoa kadi au kupiga filimbi mechi na kagera alitoa penati kwa kosa lililofanyika nje ya box lakini mechi hii hakutoa penati kwa mechi iliyofanyika mbele yake tukiacha uozo wa namna hii tunatengeneza maafa
Leo Mtu ambaye nilihatarisha hadi Maisha yangu 'Kuipigania' Simba SC 'Kifitna' Uwanja wa Uhuru ikicheza na Enyimba nikiwa na Juma Nkamia ( Former MP ) na Mzee wa Kujitoa Mhanga Kassim Dewji ( KD ) naambiwa ni mwana Yanga SC na kuitwa 'Msaliti' eti kwakuwa tu sijaunga mkono 'Wapuuzi' wengi wanaosema kuwa Simba SC juzi 'tulionewa' pale Sumbawanga na kwamba 'Mwamuzi' Yule 'anatuchukia' mno na 'Katuua' pia.
kwani makosa ya refa yapo kwenye kukataa bao la wazi tu? tunaongelea matukio ya yellow card na penaltiesKuna 'Goli / Bao' lolote lile labda Simba SC yetu 'ilifunga' na huyu 'Mwamuzi' tunayemlaumu 'Kinafiki' hivi akalikataa? Tukubali tu Jamaa walituweza.
Cha muhimu ni kuandaa tumu ipambane katika kila uwanja na katika kila hali.Matokeo ya ile mechi hayawezi kubadirika lakini yule refa ama amepewa rushwa au kiwango duni ungefatilia uchambuzi wa kipenga cha mwisho youtube ungeona madhaifu yake kwani clip inaonywesha na kuchambuliwa
Kumbee dahNa muongezee pia kuwa hata ile Mechi tuliyowafunga Yanga SC 4-1 katika ASFC wenye Simba SC na 'tunaoijua' tunajua pia nini Kilifanyika kwa nje.
Lakini kawapa vidonge vyenu hamtaki kukubaliHuyo ana maneno kushinda hata mtoto wa kike mpaka mkewe kamkimbia!
Wewe umechekewa, Chelsea ya Morinyo ya kina Mikel Obi ilikuwa inapiga viatu si mchezo na timu yao ilitisha kwa ubora.Na iwapo timu zitacheza mchezo wa nguvu na rafu namna hii bila kadi yoyote kutolewa,itasababisha kiwango cha mpira kushuka kwani timu zitakuwa zinasajili watabe tu ili zishinde,na mkienda kimataifa na approach hii,mnapigwa kadi na kushindwa kirahisi
[emoji1415][emoji1415][emoji1415]Hujawahi Kumfunga Yanga SC bila kufanya Mchezo 'Mchafu' kwa Wachezaji wake na usitake ukanifanya nimwage 'Siri' hapa kisha mkashangaa pia.
Huwa 'nawapenda' sana 'Wachangiaji' wenye 'Akili' pamoja na 'Upoeo' mkubwa hasa wa 'Kimtizamo' kama Wewe Mkuu na baadhi yenu tu hapa JF.Cha muhimu ni kuandaa tumu ipambane katika kila uwanja na katika kila hali.
Haya maswala ya refa hata England marefa wa hivo wapo lakini bado wanaaminika .
Cha muhimu ni kushinda tu, kumchambua refa huyu ana makosa na wakati timu ishapoteza point hata hakuleti mantiki yoyote.
kitu gani cha ufundi umeongea hapo. kujua penalty kunahitaji ufundi? penalty ili ipatikane ni denying goal scoring opportunity
Wewe ni yanga Simba upo kimaslahi tangu lini mwigulu nchemba akaitakia mema SimbaLeo Mtu ambaye nilihatarisha hadi Maisha yangu 'Kuipigania' Simba SC 'Kifitna' Uwanja wa Uhuru ikicheza na Enyimba nikiwa na Mwigulu Nchemba ( Former MP ) na Mzee wa Kujitoa Mhanga Kassim Dewji ( KD ) naambiwa ni mwana Yanga SC na kuitwa 'Msaliti' eti kwakuwa tu sijaunga mkono 'Wapuuzi' wengi wanaosema kuwa Simba SC juzi 'tulionewa' pale Sumbawanga na kwamba 'Mwamuzi' Yule 'anatuchukia' mno na 'Katuua' pia.
Nakubaliana na Manara na Wewe mtoa maada kwenye baadhi hoja zakoMimi GENTAMYCINE ambaye ni mwana Simba SC Mwenzako tena 'Kindakindaki' kabisa naweza hapa sababu ya 'Kipondo' chetu cha Jana
1. Wachezaji wa Simba SC wameshabweteka na wanajiona ni FC Barcelona ya Tanzania wakati hata hawajafikia 15% yao tu
2. Kocha wa Makipa wa Simba SC Mwarami Mohamed ni tatizo kwani hamsaidii Kipa Manula kurekebisha Mapungufu yake
3. Simba SC haina Stamina na Wachezaji pamoja na Benchi la Ufundi hawakujiandaa mapema kucheza Kikakamavu na Prisons FC
4. Kupangwa kwa Beki Kiraka Erasto Nyoni ambaye sasa amekwisha na Jana alipwaya sana kumechochea Kipondo kile cha Kijeda
5. Kocha wa Simba SC ama ni Mbishi Timu ikicheza Mechi za nje ya Dar es Salaam au Benchi la Ufundi halimpi Ushirikiano Kamili
6. Kutowachezesha Wachezaji au kufanya 'Rotation' ili Kulinda Vipaji vyao na kuwaweka tayari ni sababu Timu Kusuasua Kimchezo
7. Tuache Kuwekeza sana katika Kamati za Ufundi za Jadi ( Ushirikina ) bali tuwekeze Timu yetu ya Simba SC 'Kisayansi' zaidi
Nimesikitika mno tu kuona Mitandaoni Msemaji wa Simba SC yetu Haji Manara 'akimlaumu' Mwamuzi ( Referee ) wa Jana wakati alitubeba Kidakika.
Wewe ndo umenena sasa....mwigulu na simba ni wapi na wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni yanga Simba upo kimaslahi tangu lini mwigulu nchemba akaitakia mema Simba
Acha ujuaji mkuu unakijua wanacho kifanyaga yanga ili wapate ushindi au wao walicho kifanya siku ile ili wa win ile game.Hujawahi Kumfunga Yanga SC bila kufanya Mchezo 'Mchafu' kwa Wachezaji wake na usitake ukanifanya nimwage 'Siri' hapa kisha mkashangaa pia.