Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

Ule unaokuingiaga Msalani ( Ukwekani ) Kwako huku ukiwa Umebong'oa na Kukatika huwa hautoi Uharo huu huu unaouona Kwangu?
Kafie mbele huko usidhani watu huku wametoroka mirembe kama ww
 
Ahmed Ally akiendelea na ulopokaji wake soon anapigwa chini niamini Mimi yaan ule ulopokaji inabidi aidha aache au apunguze anawaaminisha watu kitu sicho anafanya watu wanamwaga machozi wazee wanalia
Your browser is not able to display this video.
 
Na bado itafika wakati mtaviogopa hata vivuli vyenu kwa mkong'oto wa Wananchi. hapo tu hamjasema bado.
 
Achana na hii tabia yako ya umbea na majungu. Maana haitokuja kukufikisha popote pale.
 
mkopo wa watu umelipa? mkiwa jamiiforums mnajifanya wa maana wakati wengine mna madeni hadi huruma. lipa madeni ya watu au mpaka tukuweke wazi?
We mkopo gani? Uweke wazi tu hapa npo tayar kukuelewesha, sijawahi kua na historia ya kudaiwa we mbilikimo tafuta strategy nyngn ya kuni-attack
 
Ahmed allly : Imeshatokea haiwezi kufutika ingawa inauma sana mioyoni mwetu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…