Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

Kipigo kimekuchanganya popoma wewe. Hata Barca na RM hutokeaga mmoja kuchezea kipigo cha 4 au 5 au 6. Usichanganyikiwe.
 
Kwani mara ya mwisho ambapo simba aliifunga yanga, hao wasaliti hawakuwepo huko simba?

Kwanini leo ndo wasemwe?

Mimi naamini aliyeisaliti simba ni mganga na siyo simba wala wachezaji.

Kitendo hiki kiliikuta simba ilipocheza na stella abjan pia

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
You are a mentally paralyzed sitaacha kukuambia hadi uende hospitali
Nik Mentally Paralyzed kama Aliyekuzaa hivyo kama unataka niende huko Hospitalini naomba niongozane nae na Yeye ( Aliyekuzaa ) ndiyo awe wa Kwanza Kutibiwa.

Naona sasa ID yako ya CAPO DELGADO uliyoitumia Kuombea Ajira hapa Jamiiforums umeipumzisha ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na ukija na hii nyingine sitokujua.
 
Msubiri aje akushike mattacle
 
Mbona pale yanga privadinho ni Simba na Leo Yuko yanga na wametufunga 5.
 
Bado hujasema
 

Sasa hizi tunguli mbona hazitufanyi hata kombe la klabu bingwa tunaishiaga sana sana robo fainali, si tungekuwa tunalichukua kila msimu? Kukiwa hakuna elimu kichwani ujinga hutawala!
 

Upo sahihi kabisa, nakuunga mkono! Hajielewi na wala haelewi majukumu ya msemaji wa klabu! Nina wasi wasi na elimu yake huyu!
 
Wewe na GENTAMYCINE wote ni wapuuzi tu kumbe thread ni 2020! Vipi nyie hamjawahi kupata shida?
Wewe ndie mpuuzi ,wapi mimi nimemcheka kutokana na hayo hiyo ?hauoni kwamba kupitia hiyo screenshot anaweza kupata msaada ?

Halafu umedakia mambo bila kujua chanzo wakati yeye ndiye muanzilishi wa tabia ya kuweka screenshots za watu sasa mfano ya GENTAMYCINE kuhusu utabiri wa mechi ya Yanga na Azam anaipitisha katika kila uzi ,sasa kivipi upate hasira na sisi tukiweka zake ?

Naomba majibu..
 
Mnafiki tu wewe apate msaada leo thread ni 2020!! Tabia za kike hizo
 
NIMESOMA POST ZA WASHABIKI WA SIMBA ZINATIA HURUMA
KAMA MTAENDELEA NA MAWAZO HAYO POTOFU, HII KILABU HAITAFIKA MBALI; ITAISHIA HAPA HAPA BONGO
MIMI SIO MPENZI WA MPIRA ILA NAVUTIWA NA STRATEGIES ZA YANGA
KIPINDI YANGA INABORONGA NA HATA KUPOTEZA KOMBE MARA NNE
HATA SIKU MOJA HAWAKUHUSIANISHA KUFELI KWAO NA IMANI ZA UCHAWI, SIJUI KUHUJUMIWA NK.
WALITUMIA NGUVU KUBWA KUTAFUTA TATIZO na kulipatia ufumbuzi;
(ndio wakaweka mikakati ya KUPATA KOCHA BORA NA WACHEZAJI WAZURI na wenye umri mdogo)
HICHO NDICHO KINACHO IBEBA YANGA HADI LEO
KWA UPANDE WA CLUB YA SIMBA BADALA YA KUTATUA TATIZO WANATENGENEZA MATATIZO!!!
 
Wee mbuz Kazi yako Ni kuwaharibia watu Kazi zao sas litakukuta Jambo baya sna hayawani wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…