Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Kwa umeolewa una uhakika wa pesa ya kula hamna tatizoShida wanazipata / mnazipata Wapumbavu Waandamizi kama Wewe na Shoga yako CAPO DELGADO ila siyo Werevu kama Mimi na adriz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umeolewa una uhakika wa pesa ya kula hamna tatizoShida wanazipata / mnazipata Wapumbavu Waandamizi kama Wewe na Shoga yako CAPO DELGADO ila siyo Werevu kama Mimi na adriz
CAPO DELGADO naona umeamua sasa uje na hii ID yako nyingine. Pumbavu kabisa Wewe.Kwa umeolewa una uhakika wa pesa ya kula hamna tatizo
Kaoshe nyapu asubuhi hii umuandalie mumeo breakfast
Kipigo kimekuchanganya popoma wewe. Hata Barca na RM hutokeaga mmoja kuchezea kipigo cha 4 au 5 au 6. Usichanganyikiwe.Kama kuna Kitu ambacho GENTAMYCINE ninawapongeza Yanga SC kwani Wamekiweza na Kinawasaidia mno ni Kupenyeza Watu wao HATARI ndani ya Simba SC (tena Jikoni kabisa) halafu Waliopenyezwa nao kuwa Wasanii (Waigizaji) kwa kujifanya ni wana Simba SC na Wanaifia sana Timu kumbe nyuma ya Pazia wanatoa Ramani zote za Vita kwa Adui na Timu ikifungwa mbele ya Media wanajifanya Kuumia na Kusikitika ila wakiwa tu Mafichoni Kwao pale Gwambina (zamani TCC Club Chang'ombe) wanaanza Kucheka, Kukata Viuno na Misebene ya Kikongo huku Gari aina ya ALPHARD Nyeusi ya Ofisini kwa Tajiri Posta Juu Ghorofani ikileta Fedha kwa Kazi nzuri ya USALITI na KUTUUMIZA wana Simba SC huku Kinafiki/Kiunafiki ukijifanya uko pamoja nasi.
ANGALIZO
Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku (ignore) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa yoyote yule.
Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA/HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya.
Nimemaliza.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Umeshapata tayari Ajira? Pumbavu Wahed Wewe.Kaoshe nyapu asubuhi hii umuandalie mumeo breakfast
You are a mentally paralyzed sitaacha kukuambia hadi uende hospitaliUmeshapata tayari Ajira? Pumbavu Wahed Wewe.
Kwani mara ya mwisho ambapo simba aliifunga yanga, hao wasaliti hawakuwepo huko simba?Ndugu yake ambaye si tu wamekuwa nae bali pia amesoma nae hadi alipokuwa Azam Media anamjua Nduguye ni Yanga SC lia lia na aliposikia kapewa Ulaji Simba SC alisikitika na Kuushangaa mno Uongozi wa Simba SC.
Yanga SC wamepandikiza Virusi wengi sana ndani ya Simba SC ( katika Uongozi ) na hadi Benchi la Ufundi bila kusahau upande wa Waganga wetu tunaowatumia.
Yanga SC Watatutesa na Kutuadhibu.
Nik Mentally Paralyzed kama Aliyekuzaa hivyo kama unataka niende huko Hospitalini naomba niongozane nae na Yeye ( Aliyekuzaa ) ndiyo awe wa Kwanza Kutibiwa.You are a mentally paralyzed sitaacha kukuambia hadi uende hospitali
Msubiri aje akushike mattacleNik Mentally Paralyzed kama Aliyekuzaa hivyo kama unataka niende huko Hospitalini naomba niongozane nae na Yeye ( Aliyekuzaa ) ndiyo awe wa Kwanza Kutibiwa.
Naona sasa ID yako ya CAPO DELGADO uliyoitumia Kuombea Ajira hapa Jamiiforums umeipumzisha ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na ukija na hii nyingine sitokujua.
GENTAMYCINE sisemi au sileti Jambo nisilo na uhakika nalo hapa Jamiiforums na Moja ya Sifa yangu Kuu na Tukuka ni Kujiamini 100%
Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100%
Mods piteni na huyu jamaa anatukana watu Kwa Habari za uongoNinasikia anakubandua Milango yote.
Bado hujasemaKama kuna Kitu ambacho GENTAMYCINE ninawapongeza Yanga SC kwani Wamekiweza na Kinawasaidia mno ni Kupenyeza Watu wao HATARI ndani ya Simba SC (tena Jikoni kabisa) halafu Waliopenyezwa nao kuwa Wasanii (Waigizaji) kwa kujifanya ni wana Simba SC na Wanaifia sana Timu kumbe nyuma ya Pazia wanatoa Ramani zote za Vita kwa Adui na Timu ikifungwa mbele ya Media wanajifanya Kuumia na Kusikitika ila wakiwa tu Mafichoni Kwao pale Gwambina (zamani TCC Club Chang'ombe) wanaanza Kucheka, Kukata Viuno na Misebene ya Kikongo huku Gari aina ya ALPHARD Nyeusi ya Ofisini kwa Tajiri Posta Juu Ghorofani ikileta Fedha kwa Kazi nzuri ya USALITI na KUTUUMIZA wana Simba SC huku Kinafiki/Kiunafiki ukijifanya uko pamoja nasi.
ANGALIZO
Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku (ignore) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa yoyote yule.
Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA/HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya.
Nimemaliza.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kosa la Ahmed Ally lilikuwa ni kumtaja Kibu Denis ndio mgeni rasmi. Na Yanga wakatengua fumbo kuwa Kibu ndiye atakayevalishwa kizizi cha ushindi wa Simba.
Hivyo wachezaji wa Yanga walielekezwa wamuumize ili asiendelee na mechi.
kilichotokea baadaya Kibu kutolewa uwanjani baada ya kuumizwa. Ni magoli mepesi kumiminika hadi yakafika 5G
Poleni. Yanga ilishinda kwa nguvu za tunguli, huyo kocha mnamtimua akiwa wala hana hatia.
Mimi kwa mtazamo wangu msemaji wa simba namchukulia kama mtu asiejielewa tu. Simba wameweka msemaji asiejua kitu.
Vitu anavyoongeaga ni kama mwezi mteke.kazi inayomfaa hapo simba ni kufua, kuweka vuzuri jezi za wachezaji. Yaani sio mtu wa kumuruhusu kuongea kwenye watu wenye akili zao za kutafakali mambo. Anatia aibu.
Wewe ndie mpuuzi ,wapi mimi nimemcheka kutokana na hayo hiyo ?hauoni kwamba kupitia hiyo screenshot anaweza kupata msaada ?Wewe na GENTAMYCINE wote ni wapuuzi tu kumbe thread ni 2020! Vipi nyie hamjawahi kupata shida?
Mnafiki tu wewe apate msaada leo thread ni 2020!! Tabia za kike hizoWewe ndie mpuuzi ,wapi mimi nimemcheka kutokana na halo hiyo ?hauoni kwamba kupitia hiyo screenshot anaweza kupata msaada ?
Halafu umedakia mambo bila kujua chanzo wakati yeye ndiye muanzilishi wa tabia ya kuweka screenshots za watu sasa mfano ya GENTAMYCINE kuhusu utabiri wa mechi ya Yanga na Azam anaipitisha katika kila uzi ,sasa kivipi upate hasira na sisi tukiweka zake ?
Naomba majibu..
Wee mbuz Kazi yako Ni kuwaharibia watu Kazi zao sas litakukuta Jambo baya sna hayawani wewKama kuna Kitu ambacho GENTAMYCINE ninawapongeza Yanga SC kwani Wamekiweza na Kinawasaidia mno ni Kupenyeza Watu wao HATARI ndani ya Simba SC (tena Jikoni kabisa) halafu Waliopenyezwa nao kuwa Wasanii (Waigizaji) kwa kujifanya ni wana Simba SC na Wanaifia sana Timu kumbe nyuma ya Pazia wanatoa Ramani zote za Vita kwa Adui na Timu ikifungwa mbele ya Media wanajifanya Kuumia na Kusikitika ila wakiwa tu Mafichoni Kwao pale Gwambina (zamani TCC Club Chang'ombe) wanaanza Kucheka, Kukata Viuno na Misebene ya Kikongo huku Gari aina ya ALPHARD Nyeusi ya Ofisini kwa Tajiri Posta Juu Ghorofani ikileta Fedha kwa Kazi nzuri ya USALITI na KUTUUMIZA wana Simba SC huku Kinafiki/Kiunafiki ukijifanya uko pamoja nasi.