Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

Wewe jamaa una faidika nini na fake propaganda zako kama Hamas ushirikina upo sijui kama viongozi wako wa kiroho wanafahamu unasapoti sana mambo ya ushirikina huku Jf, unaokoteza taarifa zako vijiwe majungu huko unaleta humu wewe ni mchonganishi sana sijui una sali dhehebu gani hakuna mtu anayesali ana roho nyeusi kama wewe.

Hivi huyo Ahmed Ally aliuza ramani gani mbona mnatapatapa sana kwani Ahmed ndio Kocha kikosi cha Simba kilichocheza ni kile kile cha siku zote lawama za nini inafungwa Barca 7 man u inakula 6 mbona simba ikifungwa kelele sana.

inapendeza kama kesho namungo wakagusa mshono tena
 
Mkuu acha tu ndugu yangu
 
Weka na ule Uzi wako uliouleta hapa Jamiiforums ukiwa unaomba Msaada wa Ajira kwa Members.

Tafadhali adriz hebu nipandishie ule Uzi tafadhali kwani kuna Mpumbavu Mmoja naona anataka Kunizoea vibaya.

Nina Kazi ya Kuosha Mbwa Wangu na Kusafisha Banda lake hivyo naomba nitafute ili Ulambe Ajira na ikiwezeka pia nitakuwa Nakubandua ili Ujira wako uzidi kuwa mkubwa sawa?
 
Haya,watu wamepenya,wakapewa ramani,mkwanja ukapelekwa. Mbona sijaona ukitaja kocha hapa?

Mmepingwa! Mmefumuliwa madude.
Yaani iko hivi,siku hizi, nyanya chungu za simba inachezea mijusi. Hahahahaha
 
😆😆😆😆🤪
 
Mimi ni Chizi kama Mama yako Aliyekuzaa.
Bro,hapa umeenda mbali. Majibu ya hovyo humu si kwamba yanakuwa ugomvi. Mtu anajibu anavyojisikia,wengine wanachangamsha tu jukwaa si kwamba ukweli hawaujui. Lakini unapoleta swala la mzazi,tena kwa kumtukana, unaferi. Hakika we ni mtu mzima,hiyo comment futa kabisaaa. Mjibu ovyo lakini mzazi wake mheshimu. Hajamtuma
 
Now umekuwa edited haupo kama awali lakini original version ni huu ambao bado nimeuhifadhi katika secret file.
IMG_20231108_212428.jpg
 
We mbilikimo ni mpumbavu sana,uharo gani huu unatunga
Ule unaokuingiaga Msalani ( Ukwekani ) Kwako huku ukiwa Umebong'oa na Kukatika huwa hautoi Uharo huu huu unaouona Kwangu?
 
Mimi kwa mtazamo wangu msemaji wa simba namchukulia kama mtu asiejielewa tu. Simba wameweka msemaji asiejua kitu.
Vitu anavyoongeaga ni kama mwezi mteke.kazi inayomfaa hapo simba ni kufua, kuweka vuzuri jezi za wachezaji. Yaani sio mtu wa kumuruhusu kuongea kwenye watu wenye akili zao za kutafakali mambo. Anatia aibu.
Acha wivu....
Kuna muda wa utani wa jadi ndo huwa akiongea maneno mengi..na kuna muda huwa yuko very serious...
Mfano alichambua mchezo wa Derby kisomi na kimpira hasa hakuweka mapenzi ya timu hapo bado mliona hafai..?
Acheni kaka afanye kazi yake...
 
Back
Top Bottom