Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Sawa mkuu.Sina shska wewe shule ulipata div 0 or div 4
Ila msijisahau kabla hamjachelewa kwa uropokaji wa Manara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Sina shska wewe shule ulipata div 0 or div 4
Haya sasa tunamtazama ameanza kuwaweka mifukoni waandishi wa habari na wachambuzi.Yanga nzima inawekwa mfukoni na Haji mmoja
Manara anaifanya kazi yake vizuri sana, amewatia unyonge sana Mashabiki wa yanga.Jaribu kufatilia comment nyingi humu,Ili mwanayanga yoyote aiseme simba lazima aanze kwa kusema "mimi ni Simba ila...." yani hawajiamini kabisa[emoji28].Ki ukweli, Manara anatuwakirisha vyema wana Simba! Anatufanya tutembee vifua mbele! Hilo KERO awapalo, ndiyo furaha kwetu!
Ujue hawa zeruzeru upungufu haupo kwenye ngozi tu, athari inayoonekana ipo mpaka kwenye ubongo na damu.Akiambiwa ukweli analia eti wanamuonea kisa mlemavu[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaaaaaUjue hawa zeruzeru upungufu haupo kwenye ngozi tu, athari inayoonekana ipo mpaka kwenye ubongo na damu.
Umesawahi ona albino akimchangia mtu damu?
Wa kuhurumiwa tu huyo
Hao waliopata taharuki bila shaka ndo wahusika.Angetaja majina yao moja kwa moja kuondoa taharuki kwa waandishi wa habari.
Tangu lini umeanza kuwapangia cha kupost watu jeiefu?Saa saba usiku unamuwaza manara, yeye ameshapata usingizi sahivi huko jo'berg south africa.
Hata Eymael alipowasema utopolo ni uneducated wqkageuza kibao kusema watanzania walitukanwa kumbe yangaManara kawapiga panapouma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] af usituingize sisi yeye kawatukana waandishi wa habari makanjanja na sio watanzania.
Watake wasitake na kipigo kipo palepaleWazee wa kukurupuka FC[emoji16][emoji16][emoji16].
na hyo MECHI na Simba MTAICHEZA TU.
Pale walikuwa wanakwepa aibu na kupigwa mawe na washabiki waoKasema ukweli.... Yanga walikimbia mechi ila wanajificha ndani ya kanuni.... Walishindwa kutambua maelfu ya mashabiki waliokuwepo uwanjani...