Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Tulia kijana acha papara kutesa kwa zamu mmesahau miaka 4 iliyopita mlikuwa mnatunyanyasa sana kipindi enzi za Manji haji alikuwa anataniwa sana na wana Yanga wakiongozwa na muro sasa hivi anawalipa msubiri na nyinyi mkiwa vzr lakin kwa sasa hivi timu lenu bovu viongozi akili hawana mashabiki mmekuwa kama vichaa kila muda mnahasira ushauri kama umeanza kishabikia mpira juzi juzi miaka hiki tuliza mchecheto na kama ni wahenga kama sisi vumilia tu hutaki hama timu ukibaki Yanga utopolo tutawatania hadi mkome
 
Mimi ni Simba ila Manara ile Clip kakosea anaiweka Simba kwenye wakati mgumu,maana kushirikiana na vyombo vya habari ina umuhimu wake.

Kuwaita waandishi takataka haijakaa poa, binafsi sijapenda apunguze kidogo kuongea
Kwani ukisema wewe ni yanga kuna kibaya kitakukuta? Hii tabia ya kutanguliza kauli "Mimi ni Simba ila" ni kudhibitisha udhaifu tu.
 
Kwani ukisema wewe ni yanga kuna kibaya kitakukuta? Hii tabia ya kutanguliza kauli "Mimi ni Simba ila" ni kudhibitisha udhaifu tu.
Ki ukweli, Manara anatuwakirisha vyema wana Simba! Anatufanya tutembee vifua mbele! Hilo KERO awapalo, ndiyo furaha kwetu!
 
kumbe manara ni mkubwa nchi hii, ok lakini tusisahau ni mshabiki mnazi wa timu anayoifanyia kazi

ata mimi au wewe viongozi wa sekta ya kabumbu kwa njia moja ama nyingne tumewapa kila aina ya matusi
Lakini umesikia alichoropoka jana boss?
 
Back
Top Bottom