Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact mkuuDuuh jamaa basickazingua.
Ule mwanga wa tochi ya mzee wala haukua na madhara kabisa ila kama sasa kaanza kutoa na hivyo vizawadi ni hatari kwa timu yake.
Wabongo wapenda sifa na umaarufu watakuja na vicochi vyenye madhara wakitegemea kutrend mitandaoni na umaarufu huo.
Hajafikiria mara 2, kaanza kua msemaji uchwara sasa.
Fact mkuu
Wapumbavu wataamini kuwa Mzee wa Tochi Abdallah Mzuzuri ni Mtu wa Kawaida tu ila waliokuwepo Uwanjani shuguli yake waliiona iliyoleta Ushindi na hiyo Tochi ni Zuga tu, ila hapo anapongezwa kwa 'Job Well Done' na kuna Mzigo ( Hela ) pia ya Asante ameshapewa / atapewa.Hahah GENTAMYCINE hebu sema kitu hapa
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?Ulisikia wapi kuwa vitochi vinaleta madhara kwenye mpira? Vitochi vilikuwepo toka enzi hizoo za akina kaseja... na huwa vinatumiwa na mashabiki wa timu zenye malengo kama al hally, zamalek, simba..au timu za taifa zenye malengo kama senegal, misri... we unafikiri kwa mfano utopolo vs polis tz zikicheza unaweza kuona vitochi? Acha semaji liendelee kufanya mambo yake...
Mkuu hebu nikupe heshima kidogo nikupime uwezo wako;Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?
Unajua maana ya neno precedence? Huyu msemaji katengeneza precedence ya haya mambo kuendelea na kufanyika kwa ukubwa zaidi. Ndama ukimlea anakua ng'ombe mzima.
Pambaneni zaidi kumshauri msemaji wenuWapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu timu.
Kesho watu wakija na vitochi zaidi tena vyenye mwanga wenye madhara atafanyaje? Nilitegemea angekemea huo upuuzi lakini ndio kwanza ana uhamasisha.
Brother, wewe ni msemaji wa club kubwa, achana na vitu vya hovyo visivyo na tija.
NB: Niko tayari kwa povu.
Ukikaribia muda wa kufuturu unakuwaga na akili kumbeWapumbavu wataamini kuwa Mzee wa Tochi Abdallah Mzuzuri ni Mtu wa Kawaida tu ila waliokuwepo Uwanjani shuguli yake waliiona iliyoleta Ushindi na hiyo Tochi ni Zuga tu, ila hapo anapongezwa kwa 'Job Well Done' na kuna Mzigo ( Hela ) pia ya Asante ameshapewa / atapewa.
Huyu ni Version ya Mzee Mpili wa Yanga SC. Kuhusu kumjibu Mleta Mada ( Uzi ) huu ni kwamba Moja ya Kazi ya Mtu wa Mawasiliano na Mahusiano wa Klabu pia ni kufanya Fan Engagement, Kujichanganya nao na hata sometimes kufanya 'something Kiddish' ili Kumfanya Mshabiki ajione nae ni 'part and parce'l na Timu na hii husaidia katika Kuwashawishi na Kuwavutia wengine kitu ambacho huwa na Faida kwa Klabu Kiumaarufu na hata Kibiashara.
Mleta Uzi anitafute nimpe 'Elimu' zaidi!!!
Cc: malantu
Mkuu hebu nikupe heshima kidogo nikupime uwezo wako;
1. Umetazama video ya interview?
2. Umemsikiliza Ahmed maelezo yake yote?
3. Kama umemsikiliza,anasemaje?
unajisikiaje kutoa hukumu bila kupata ukweli angalau wa kiasi kidogo? huku kuna video zinaonyesha kilichojiri ambacho ni tofauti na anayosema mleta mada.Mkuu sijatazama video. Nimejibu tokana na maelezo ya mleta uzi.
Kama mleta mada kapindisha maneno basi kakosea ila kama msemaji wa Simba kafanya hivyo kweli there's no other way about it.
Utopolo wanahangaika Sana.Mtamtafutia Kila Chuki
Lakini Hamtaweza Mumuache
Mna mechi na Azam kesho....na wewe andaa tochiWapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu timu.
Kesho watu wakija na vitochi zaidi tena vyenye mwanga wenye madhara atafanyaje? Nilitegemea angekemea huo upuuzi lakini ndio kwanza ana uhamasisha.
Brother, wewe ni msemaji wa club kubwa, achana na vitu vya hovyo visivyo na tija.
NB: Niko tayari kwa povu.
unajisikiaje kutoa hukumu bila kupata ukweli angalau wa kiasi kidogo? huku kuna video zinaonyesha kilichojiri ambacho ni tofauti na anayosema mleta mada.
Why hili taifa watu wake ni rahisi sana kupotoshwa? Tena ukimsikiliza Ahmed amefuta uvumi wote kwamba tochi ilikuwa na athari,akamzawadia jezi si kwa sababu ya tochi bali kwa amsha amsha yake jukwaani maana kila mtu alikuwa na vibe lake