GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama ulivyozoeleka naamini kuna Jambo lililojificha lakini kama Siku PCCB (TAKUKURU) wakiamua waingie Kazini kufanya Uchunguzi huenda kuna Timu hapa Tanzania zitaaibika na hata Kufungiwa au kushushwa Daraja kabisa.
Cc: Hussein Massanza
Cc: Hussein Massanza