Msemaji kawapasha ipasavyo maana mlikuwa mnadandia ajenda msizozijua kutumia fei kama kichaka cha kuficha udhaifu wa viongozi wenu,, Uyo mhindi wenu kashindwa kufanya usajili wa maana anaenda kuazima wachezaji kwa mkopo alafu aje atoe zaidi ya bilioni 2.5 kumnunua mchezaji wa ndani? Na iyo ni gharama za kumtoa Azam bado maslai binafsi ya mchezaji inakaribia billion 3 mnazo? Unataja pyramid kwaiyo unajilinganisha na pyramid? Kwa uchumi Gani ilionao Simba?Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili.
Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa azimiliki maisha yake yote kwaio aache kudharau na kujishushia heshima na hadhi.
Yeye anaitukana Simba sports club kisa Bilioni 2, Sasa timu ya Pyramids ya misri imemsajili mchezaji kwa Bilioni 8.3 Tsh, mchezaji mmoja tu..bilioni 2 tu unaropoka kama mwehu, bilioni 2 kwa wengine ni hela ya mboga tu. Hata wanaweza kununua nafasi yako ya kazi na akapewa mwingine wewe ukaenda kusugua Gaga Tandahimba.
Wanadaiwa hadi kucha bil 67 zake anazitaka KanjibhaiMsemaji kawapasha ipasavyo maana mlikuwa mnadandia ajenda msizozijua kutumia fei kama kichaka cha kuficha udhaifu wa viongozi wenu,, Uyo mhindi wenu kashindwa kufanya usajili wa maana anaenda kuazima wachezaji kwa mkopo alafu aje atoe zaidi ya bilioni 2.5 kumnunua mchezaji wa ndani? Na iyo ni gharama za kumtoa Azam bado maslai binafsi ya mchezaji inakaribia billion 3 mnazo? Unataja pyramid kwaiyo unajilinganisha na pyramid? Kwa uchumi Gani ilionao Simba?
Kwani yeye ni msemaji wa pyramidHawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili.
Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa azimiliki maisha yake yote kwaio aache kudharau na kujishushia heshima na hadhi.
Yeye anaitukana Simba sports club kisa Bilioni 2, Sasa timu ya Pyramids ya misri imemsajili mchezaji kwa Bilioni 8.3 Tsh, mchezaji mmoja tu..bilioni 2 tu unaropoka kama mwehu, bilioni 2 kwa wengine ni hela ya mboga tu. Hata wanaweza kununua nafasi yako ya kazi na akapewa mwingine wewe ukaenda kusugua Gaga Tandahimba.
Hahahaha Kanji hawatoshi wanamtaka PyramidKwahyo pyramid ni mume wa Simba atagharamikia usajili wa FEI?
mkuu pyramids ndo wa kufananishwa na simba!!!unajielewa kweli?Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili.
Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa azimiliki maisha yake yote kwaio aache kudharau na kujishushia heshima na hadhi.
Yeye anaitukana Simba sports club kisa Bilioni 2, Sasa timu ya Pyramids ya misri imemsajili mchezaji kwa Bilioni 8.3 Tsh, mchezaji mmoja tu..bilioni 2 tu unaropoka kama mwehu, bilioni 2 kwa wengine ni hela ya mboga tu. Hata wanaweza kununua nafasi yako ya kazi na akapewa mwingine wewe ukaenda kusugua Gaga Tandahimba.
Wanafikiri kumnunua mchezaji bilioni 3 ni sawa na kuwaonga vielfu hamsini hamsini kina kefa kayombo na heri sasii.Msemaji kawapasha ipasavyo maana mlikuwa mnadandia ajenda msizozijua kutumia fei kama kichaka cha kuficha udhaifu wa viongozi wenu,, Uyo mhindi wenu kashindwa kufanya usajili wa maana anaenda kuazima wachezaji kwa mkopo alafu aje atoe zaidi ya bilioni 2.5 kumnunua mchezaji wa ndani? Na iyo ni gharama za kumtoa Azam bado maslai binafsi ya mchezaji inakaribia billion 3 mnazo? Unataja pyramid kwaiyo unajilinganisha na pyramid? Kwa uchumi Gani ilionao Simba?
Katajwa Fei mashoga yote ya jangwani mmeanza kupiga keleleMsemaji kawapasha ipasavyo maana mlikuwa mnadandia ajenda msizozijua kutumia fei kama kichaka cha kuficha udhaifu wa viongozi wenu,, Uyo mhindi wenu kashindwa kufanya usajili wa maana anaenda kuazima wachezaji kwa mkopo alafu aje atoe zaidi ya bilioni 2.5 kumnunua mchezaji wa ndani? Na iyo ni gharama za kumtoa Azam bado maslai binafsi ya mchezaji inakaribia billion 3 mnazo? Unataja pyramid kwaiyo unajilinganisha na pyramid? Kwa uchumi Gani ilionao Simba?
Siyo tatizo lenu,ni udumavu wa akili zenu maana hamna hata ndoto ya kununua mchezaji kwa hiyo beiWanafikiri kumnunua mchezaji bilioni 3 ni sawa na kuwaonga vielfu hamsini hamsini kina kefa kayombo na heri sasii.
Hunijui tu, naweza kuufanya ukoo wenu mzima mkaishi maisha ya kitakiri ila basi tu huna adabuWewe kapuku unazo shilingi ngapi uisaidie Simba.
Hatutaki maneno, Feisali yupo toeni hizo 2bil kama mna uwezo mumchukue.Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili.