Hii mikwara tu. Washaujua mziki wa mzayuni. Tehran panaingilika na panapigika kirahisi. Wangekuwa wababe wasingekubali cease fire kirahisi vile.Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
"Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu."
“Mytake”
Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi kushindwa kwa Irani ni kwa 99%.
Harafu huyohuyo aliyeshindwa kwa 99% ndiyo anabwabwaja kuishambulia Israel bila kupita hiyo ndiyo Taqiyyah kweli kweli!!
Wakati Wafanyikazi Mkuu wake wote na vifaa vya nyuklia viliangamizwa kwa siku 12 - je, kwa nini hawa kushambulia bila kusita wakati huo?
View attachment 3394069
Watamla kichwa huyo soonUzuri Israel huwa hawaongei sana wanatenda tu
Mleta uzi si anaishi huko huko Israel, unless nimechanganya madesaIsrael kapigika wewe kenge endeleza kanga za kishoga hapa, tena wamshukuru sana Trump ndio kawaokoa, angekuwa yule kizee Biden angendelea kuwapa silaha mpaa wakaisha waisraeli wote hahaha
View: https://youtu.be/bpgMVjlPQsY?si=FrhZYG5PzZDMGkfI
Wale wanaweza kupiga na viwete tu labda kidogo watoto na wanawakeUzuri Israel huwa hawaongei sana wanatenda tu
Nimejaribu kuangalia video nikijua kuwa Israel amepigika kumbe ni same picture same area ambazo tuliona za residential area.. kwani lini utaanza kuongea ukweli ili ukuweke huru wewe, everything uletacho humu i fake fake tu. inaelekea hata ukitoa salamu msikitini pia ni fake greetings hahahaIsrael kapigika wewe kenge endeleza kanga za kishoga hapa, tena wamshukuru sana Trump ndio kawaokoa, angekuwa yule kizee Biden angendelea kuwapa silaha mpaa wakaisha waisraeli wote hahaha
View: https://youtu.be/bpgMVjlPQsY?si=FrhZYG5PzZDMGkfI
we hapo si unaongelea kupigwa kwa apartments? mwenzako yeye kapigwa sehemu muhimu na seniors wote wa jeshi wameuliwaIsrael kapigika wewe kenge endeleza kanga za kishoga hapa, tena wamshukuru sana Trump ndio kawaokoa, angekuwa yule kizee Biden angendelea kuwapa silaha mpaa wakaisha waisraeli wote hahaha
View: https://youtu.be/bpgMVjlPQsY?si=FrhZYG5PzZDMGkfI
Hawa ndio wanajua ukweli sikiliza hio video, afu punguza uwongo Iran hakuomba Hezbullah aingie kwenye vita na Iran atawatumia Hezbullah kwenye vita inayo kuja mpaa ground force itaingia kumbeba Netanyahu kwenye kikapu cha machungwa 🤣Nimejaribu kuangalia video nikijua kuwa Israel amepigika kumbe ni same picture same area ambazo tuliona za residential area.. kwani lini utaanza kuongea ukweli ili ukuweke huru wewe, everything uletacho humu i fake fake tu. inaelekea hata ukitoa salamu msikitini pia ni fake greetings hahaha
Sasa Russia kasema wapi kuwa US Kaiokoa Israel? Day twelve ilikuwa siku ya msiba mkubwa tehran ndio Trump kawaokoa Makobazi.
Iran alipoona Hezbollah kakataa kumsaidia akawa Mnyonge kweli akaona atulizane hahaha
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
"Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu."
“Mytake”
Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi kushindwa kwa Irani ni kwa 99%.
Harafu huyohuyo aliyeshindwa kwa 99% ndiyo anabwabwaja kuishambulia Israel bila kupita hiyo ndiyo Taqiyyah kweli kweli!!
Wakati Wafanyikazi Mkuu wake wote na vifaa vya nyuklia viliangamizwa kwa siku 12 - je, kwa nini hawa kushambulia bila kusita wakati huo?
View attachment 3394069
Sasa kumbe walikuwa Hawajui muda wote? Basi hawana Intel yyte hao kobazi zaidi ya kurusha rusha tu tu vimondo bila direction. Wanajaribu kujionesha kuwa kama Israel eti na wao wamejua BiBi anapo lala, wanajikosha hao kuepuka aibu yao ya wale makamanda wao waliotangulizwa kula bkr 72.Safari hi Rising Lion atajificha wapi, Iran wamesema Missiles safari hi zitaenda kumzika mzima mzima atafia shimoni.
View: https://youtu.be/FGgvppGmosU?si=AoBOBa6ZzEbuDL9o
Hawa unaowasifia kuwa wanajua ukweli wakati wao wenyewe hawana na uhakika wa wanayoyasema hawana uthibitisho wanabwabwaja tu kama wewe unavyobwabwaja ovyo!!!Hawa ndio wanajua ukweli sikiliza hio video, afu punguza uwongo Iran hakuomba Hezbullah aingie kwenye vita na Iran atawatumia Hezbullah kwenye vita inayo kuja mpaa ground force itaingia kumbeba Netanyahu kwenye kikapu cha machungwa 🤣
View: https://youtu.be/GUjckivz8S4?si=1AK7SlHFTOeu5jDI
Kama wamedanganya tuambie cease fire aliomba nani?Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
"Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu."
“Mytake”
Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi kushindwa kwa Irani ni kwa 99%.
Harafu huyohuyo aliyeshindwa kwa 99% ndiyo anabwabwaja kuishambulia Israel bila kusita hiyo ndiyo Taqiyyah kweli kweli!!
Wakati Wafanyikazi wakuu wake wote na vifaa vya nyuklia viliangamizwa kwa siku 12 - je, kwa nini hawa kushambulia bila kusita wakati huo?
View attachment 3394069
Tumia akili zako vizuri ulizopewa na Mungu!!!Kama wamedanganya tuambie cease fire aliomba nani?
Haiwezekan kama unampiga mtu afu uombee poo ww badala uliempiga ndio aombe
kuna watu wana mdomo kama waisraeli na trump,hujui juzi waziri wa israeli alitoa michambo kuhusu kushambulia iran,huyo msemaji kajibu michambo ya muisraeli tu hapoUzuri Israel huwa hawaongei sana wanatenda tu