Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

Nyie watu na ushabeki wenu husio kuwa na kichwa wala mogul!! Kwani nani kakubari kusitisha mapigano kati ya Israel na Iran - labda tuanzie hapo.
 
Nyie watu na ushabeki wenu husio kuwa na kichwa wala mogul!! Kwani nani kakubari kusitisha mapigano kati ya Israel na Iran - labda tuanzie hapo.

w

we hapo si unaongelea kupigwa kwa apartments? mwenzako yeye kapigwa sehemu muhimu na seniors wote wa jeshi wameuliwa
Je, wewe umejaribu kuf
atilia military Senior Officers walio uwawa na kombora LA Iran wakiwa kwenye mkutano ambao Israel iliewadanganya kuwa imehitishwa kumbe waliwatumia Waisrael wenye kujua lugha ki-Farsi/Kiajemi kwa ufanisi mkubwa sana kuwarubuni maafisa wa jeshi la Iran wakaiingia King wakalipuliwa na ndege za Israel wakiwa wamejificha wakisubiri kuanzishwa kwa mkutano WA Uongo na kweli, lakini mbona hamsemi idadi ya maafisa wa jeshi LA Israel walio uwawa na makombora ya Iran??
 
Hujachelewa,jifunze kuandika vizuri. Kuna MEMKWA. Piga shule ya kuandika kwanza ndio urudi hapa.
Nyie watu na ushabeki wenu husio kuwa na kichwa wala mogul!! Kwani nani kakubari kusitisha mapigano kati ya Israel na Iran - labda tuanzie hapo.
 
Iran huwa wanapigana vita kwa maneno ya mdomoni, wakati wenzao wanapigana vita kwa vitendo.
 
maafisa wa israel waliouwawa hakuna, kwenye hii vita taarifa za israel zilikua zinapatikana kirahisi kuliko iran ambao walifunga hadi internet na kuzuia wanazuia wananchi kupiga matukio
 
View: https://youtu.be/IP5HLml6sH8?t=9
 
Uliona telaviv lakin pale katikakati panapolindwa na 5 layer of missle defence lakin wapi . Hivi unafikiri kuna mtu atanunua tena THAAD yenu .. hivi vita vimewaacha wamegharib mdomo wazi kwenye uwanja wa silaha
 
Well said mkuu, jana nilikuwa nasoma gazeti moja la magharibi likikiri kwamba kumbe Makombora ya Iran yaliweza kuchakaza viwanja vya ndege za kijeshi vitano (5)kikiwemo base kubwa ya Air Force, lakini Israel na media za magharibi walikaa kimya kabisa mpaka gazeti hili ndilo likavujisha siri hii juzi juzi tu hapa!!

Binafsi bado nafikiri Israel itakuwa inajiuliza mara mbili mbili kabla ya kujaribu kuichokoza Iran kwa mara nyingine tena,hata kama anajiamini kuwa na mabom ya nuclear yeye anajuaje kama Iran haikuwahi kushirikiana na wana sayansi wa Pakistan au North Korea kuunda kile nchi za magharibi wanacho kiits an Islamic Bom!

Iran siyo lelemama hata Israel na Trump hilo wamekwisha ling'amua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…