GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na Kutulea.
Na wote wakamalizia kwa kusema kuwa kwa 95% Baraka za Mtoto ziko kwa Baba Mzazi ambaye alikutoa Kiunoni mwake.
Na wote wakamalizia kwa kusema kuwa kwa 95% Baraka za Mtoto ziko kwa Baba Mzazi ambaye alikutoa Kiunoni mwake.