Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

Kumbe kamelelewa na single mother, ndo mana kana ropoka sana
 
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na Kutulea.

Na wote wakamalizia kwa kusema kuwa kwa 95% Baraka za Mtoto ziko kwa Baba Mzazi ambaye alikutoa Kiunoni mwake.
hayakuhusu genta,muache na mama yake,mambo ya ndani huyajui
 
Mama yake ali kamwe aliachana namzee Kamwe miaka mingi. Mzee Kamwe amejenga na ana maisha mazur. Mama kamwe alikuwa bado amepanga mtoto wake akaamua Kumheshimisha. shida hapo iko wapi? kwani mzee kamwe yeye hana sehemu ya kukaa? alyy huwa hamsaidii mahitaji mengine baba yake? Tuache watu waishi watakavyo
Losa ni yule alijenga kwa nn alikaribishe mitandao kwe ye maisha binafsi
 
Back
Top Bottom