GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anahitaji kufundishwa na kukumbushwaKuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na Kutulea.
Na wote wakamalizia kwa kusema kuwa kwa 95% Baraka za Mtoto ziko kwa Baba Mzazi ambaye alikutoa Kiunoni mwake.
Kweli mkuu hata kwenye biblia baraka zilitolewa na baba sio mama... Lakini haya yote ni makosa ya nani?Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na Kutulea.
Na wote wakamalizia kwa kusema kuwa kwa 95% Baraka za Mtoto ziko kwa Baba Mzazi ambaye alikutoa Kiunoni mwake.
Sasa kwa nini walirusha wenyewe kwenye media hizo habari na tukio la kupeana nyumba??Mambo mengine ni binafsi zaidi ni ya kupotezea.
si unajuwa tena nchi ya CCM hii kila mtu mjuwaji.Mama yake ali kamwe aliachana namzee Kamwe miaka mingi. Mzee Kamwe amejenga na ana maisha mazur. Mama kamwe alikuwa bado amepanga mtoto wake akaamua Kumheshimisha. shida hapo iko wapi? kwani mzee kamwe yeye hana sehemu ya kukaa? alyy huwa hamsaidii mahitaji mengine baba yake? Tuache watu waishi watakavyo
We unaijua historia ya Kamwe na baba yake?kama haujui Kaa kimya na hii iwe fundisho Kwa wababa wote wanaokimbia familiaKuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na Kutulea.
Na wote wakamalizia kwa kusema kuwa kwa 95% Baraka za Mtoto ziko kwa Baba Mzazi ambaye alikutoa Kiunoni mwake.
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na Kutulea.
Na wote wakamalizia kwa kusema kuwa kwa 95% Baraka za Mtoto ziko kwa Baba Mzazi ambaye alikutoa Kiunoni mwake.
Mkuu, ni vyema watu wakatambua na ku-uzingatia USHAURI WAKO.Kijana kumbuka utakapozeeka huwi mama, unakuwa kama baba yako mwenye watoto kama wewe ulivyo kwa baba yako. Lolote ufanyalo usisahau KARMA.
Mkuu, tunajisahau mno, unakuta kijana yupo mjini anazungumza na mama yake tu kamsahau baba yake kabisa ilihali na yeye ana mtoto/watoto ambao wapo karibu na mama yao muda mwingi na wala hauoni uzee wake utakavyofanana kupitia baba yake.Mkuu, ni vyema watu wakatambua na ku-uzingatia USHAURI WAKO.
Hivi namba zako ni hizi 0783657519 na 0688255974?Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na Kutulea.
Na wote wakamalizia kwa kusema kuwa kwa 95% Baraka za Mtoto ziko kwa Baba Mzazi ambaye alikutoa Kiunoni mwake.
DENICE MAPOMAHivi namba zako ni hizi 0783657519 na 0688255974?