Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Uongo wako huu mkubwa Umejiaibisha na Umewadharaulisha wana Yanga SC wote duniani

Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Uongo wako huu mkubwa Umejiaibisha na Umewadharaulisha wana Yanga SC wote duniani

Simba pia inaweza kuanzia raundi ya awali, lakini si kwa sababu ya kutokuwa bingwa ila kwa sababu za kuwa na point chache kulinganisha na walio juu yake. Lakini Yanga ni dhahiri hawezi kuanza raundi ya pili, point zake ni chache sana na si mwaka huu, hata miaka mitatu ijayo atahitaji azijengejenge. Sijajua kwa nini Manara aliongea vile, ni kwa kutojua au kwa kuwachukulia poa Wanayanga!
Point zake kwa sasa zinaiweka simba kwenye nafasi ya 12 kwa africa
 
nimeona umesema yanga tupo dunia nzima aaagh hilo la kheri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Takadini aliwaptezaaa Utopwinyoooooooh
 
.
 

Attachments

  • IMG-20220620-WA0000.jpg
    IMG-20220620-WA0000.jpg
    27.4 KB · Views: 6
Labda wewe ndo umeaibika? Sisi tupo sawa tu.
 
Back
Top Bottom