David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Nyie 5G mna nini cha zaidi cafcl?naona mnachonga ngenga sanaHabari ndoio. Wakubwa wanaanzia nyumbani, wasiojielewa wanaanzia machakani. Kumfunga simba hakukupi ukubwa Afrika kwani katika timu iliyoofunga simba mara nyingi ni utopolo lkn utopolo hana ukubwa wowote Afrika.
Ambacho wewe hauna. Hukatazwi kichonga ngengaWewe simba una nini cha zaidi cafcl?naona mnachonga ngenga sana
Cafcl Kipi ambacho Mimi sina wewe unacho?Ambacho wewe hauna. Hukatazwi kichonga ngenga
Akili za makolo bhana mnaziweza wenyeweIle game ilikua imejaa ulozi kila kona hakukua na mpira pale yalikua ni mapepo tu yanacheza
Na wao wangeloga kama ni rahisiAkili za makolo bhana mnaziweza wenyewe
Halafu ndo mambo yaoNa wao wangeloga kama ni rahisi
Kupigwa tano na alahly. Umeridhika sasa ?Cafcl Kipi ambacho Mimi sina wewe unacho?
Katika kitu ninachosubiri,ni kutoka hapa,niweze kujiridhisha kuwa,hii timu kweli ni bora,au ilitufunga kwa kutumia makando kando na ulozi,maana hapa hakuna kupitia milango ya nyuma,hapa huingii na ulozi,hii ni timu yenye ubora,ikipigwa na hii,au ikitoa sare,basi nitakiri ubora😃 bado masaa tuNdio useme Sasa mapema
Ukilogwa inachukua mda kupona na ndiomaana game ya namungo bado tulipata tabu sana ila game ya Jumamosi usikose maana pira litapigwa sanaSio kweli mbona mwenzio mechi iliyofata alishinda wewe kwa nini ulitoa sare
Katika kitu ninachosubiri,ni kutoka hapa,niweze kujiridhisha kuwa,hii timu kweli ni bora,au ilitufunga kwa kutumia makando kando na ulozi,maana hapa hakuna kupitia milango ya nyuma,hapa huingii na ulozi,hii ni timu yenye ubora,ikipigwa na hii,au ikitoa sare,basi nitakiri uboraSio kweli mbona mwenzio mechi iliyofata alishinda wewe kwa nini ulitoa sare
Sasa kocha katimuliwa kisa nini?Ile game ilikua imejaa ulozi kila kona hakukua na mpira pale yalikua ni mapepo tu yanacheza
Kweli nyani aaoni kundule.Katika kitu ninachosubiri,ni kutoka hapa,niweze kujiridhisha kuwa,hii timu kweli ni bora,au ilitufunga kwa kutumia makando kando na ulozi,maana hapa hakuna kupitia milango ya nyuma,hapa huingii na ulozi,hii ni timu yenye ubora,ikipigwa na hii,au ikitoa sare,basi nitakiri ubora😃 bado masaa tu View attachment 2822858View attachment 2822858
Tusiongee sana badae tutakuta hapa baada ya game ya leo usikuKweli nyani aaoni kundule.
Ulozi nyie nanyi Si mnafanyaga adi ugenini Kwa watu mchana kweupe pe bila hata chembe ya aibu na bado mkakandwa nyie si ndio mliotaka choma uwanja wa Mzee Madiba uko bondeni. Laiti kama vikosi vyao zimamoto na uokozi vingekua kama vya hapa nyumbani saizi tunazungumza mengine huo ulonzi wenu umealibu nyasi za watu adi Leo azioti lile eneo linakipara
Kocha tumempumizishaSasa kocha katimuliwa kisa nini?
Nimenukuu hapo tuKatika kitu ninachosubiri,ni kutoka hapa,niweze kujiridhisha kuwa,hii timu kweli ni bora,au ilitufunga kwa kutumia makando kando na ulozi,maana hapa hakuna kupitia milango ya nyuma,hapa huingii na ulozi,hii ni timu yenye ubora,ikipigwa na hii,au ikitoa sare,basi nitakiri ubora😃 bado masaa tu View attachment 2822858View attachment 2822858
Sawa ngoja tuone jumamosi kakaUkilogwa inachukua mda kupona na ndiomaana game ya namungo bado tulipata tabu sana ila game ya Jumamosi usikose maana pira litapigwa sana
Kwani mechi ya mwisho si alicheza hapo na akapata matokeo au umesahau??Katika kitu ninachosubiri,ni kutoka hapa,niweze kujiridhisha kuwa,hii timu kweli ni bora,au ilitufunga kwa kutumia makando kando na ulozi,maana hapa hakuna kupitia milango ya nyuma,hapa huingii na ulozi,hii ni timu yenye ubora,ikipigwa na hii,au ikitoa sare,basi nitakiri uboraView attachment 2822867
Kwahiyo Yanga leo anacheza anayejuaMpira umeanza kufatilia mwaka juzi? Kiufupi ni kwamba wanaojua wooote wanaanzia viwanja vya nyumbani