Msemo "mi nakula bata" ulinifukuzisha kunako dhehebu la sabato miaka kumi (10) iliyopita

Kwamba kuna watu wapo categorised ni wazinzi, walutheri sio wazinzi au RC?
Rc wanajichanganya kotekote hawajihesabii sana haki, sabato ni kama watakatifu wamenyooka nje ndani, kwahiyo doa kama hili linatuumiza sana watu wa nje
 
Sababu yako ya kuacha kumuamini Mungu ni ya kitoto sana

Wasabato wana mambo ya ajabu ajabu sana mara usile nguruwe mara hakuna chrissmass mara hakuna kuombea marehemu. Ni ujinga ujinga tu
 
Rc wanajichanganya kotekote hawajihesabii sana haki, sabato ni kama watakatifu wamenyooka nje ndani, kwahiyo doa kama hili linatuumiza sana watu wa nje
Nani anayejihesabia haki! Mnatukosea sana...
 
Nimecheka hapa mpaka nimepaliwa na konyagiiii...
 
Sasa ndo unakula bata mpaka kuku wanaona gere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…