Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kawaida ya wasabato mbonaKumbe we mzee mhuni mhuni ni msabato?
Kawaida ya wasabato mbonaKumbe we mzee mhuni mhuni ni msabato?
Kwamba kuna watu wapo categorised ni wazinzi, walutheri sio wazinzi au RC?We kama msabato sikutetei nawajua nje ndani😆 wazinzi sana
Rc wanajichanganya kotekote hawajihesabii sana haki, sabato ni kama watakatifu wamenyooka nje ndani, kwahiyo doa kama hili linatuumiza sana watu wa njeKwamba kuna watu wapo categorised ni wazinzi, walutheri sio wazinzi au RC?
Nani anayejihesabia haki! Mnatukosea sana...Rc wanajichanganya kotekote hawajihesabii sana haki, sabato ni kama watakatifu wamenyooka nje ndani, kwahiyo doa kama hili linatuumiza sana watu wa nje
Nimecheka hapa mpaka nimepaliwa na konyagiiii...Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao.
Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'.
Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu.
Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili nililolipenda, na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuanza kupinga uwepo wa Mungu.
Sasa sina dini na simwamini Mungu na Niko vyema tu!
Sasa ndo unakula bata mpaka kuku wanaona gere.Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao.
Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'.
Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu.
Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili nililolipenda, na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuanza kupinga uwepo wa Mungu.
Sasa sina dini na simwamini Mungu na Niko vyema tu!
PumbaPumzi isikuhadae ndugu yangu ktk Imani,
AiseeeBata amekukosanisha na Mungu.
Ukifa nenda kwa bata.
Acha kuchukulia serious kiasi hicho hujui nilimaanisha nn kwa mtoa ujumbePumba
Am never serious maana humu hatulipwi mkuu.. Ile kauli ni pumba generaly bila kujali ilitumikaje.. Ni kauli ambayo popote nitakapo isikia lazima nicheke na niitikie Pumba.Acha kuchukulia serious kiasi hicho hujui nilimaanisha nn kwa mtoa ujumbe
Nimekupata mkuu, pumzi isikuhadae ndugu yangu ktk Imani 😂Am never serious maana humu hatulipwi mkuu.. Ile kauli ni pumba generaly bila kujali ilitumikaje.. Ni kauli ambayo popote nitakapo isikia lazima nicheke na niitikie Pumba.
Robert Heriel Mtibeli yaani mshirika wenu kula bata tu mkamtimua??
Ilikuwa patashika nguo kuchanika, lakini nikaamua kusepa na sasa nakunywa hadi mbege ya maili mbili bila bughudha.Nimecheka hapa mpaka nimepaliwa na konyagiiii...
Sana tu. Walijua wamepata kumbe wamepatikana.Sasa ndo unakula bata mpaka kuku wanaona gere.
Hahahahaaaa.. WakomoeeeeeeSana tu. Walijua wamepata kumbe wamepatikana.
Fayaaa 🔥.Hahahahaaaa.. Wakomoeeeeee