Msg to Kiba..Hii Mwana sijui Dsm umepanick..Chorus,Theme r everywhere

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Ukweli unauma...nasema hivi Talent pekeee haitoshi bila kujipanga...nikiwa kama shabiki wa Ali kiba,huu wimbo wa mwana kachemka..watanzania tuwe wakweli na sio watu wakurupuka tu..Kiba ana vocal za hatari hili halina ubishi ila nyimbo hamna kitu..chorus haina mvuto maneno hajajipanga..in short kapanic..na kama ndo alijichimbia na kutoa nyimbo basi alichemka Game imechange na ndo maana ata ukisikiliza nyimbo ya Fally ipupa kabadilisha style mpaka beat..My opinion ni kwamba Kiba huyu sio sawa na Kimasomaso..Kapanick yani kama huyu ndo competitor wa Dogo Dangoti alipo anacheka tu..kweli Kiba u lacking some Good PR,Management ambayo inajielewa ikupe ushauri,inauma kwasababu sauti yako ni untouchable ila wrong management..ni hayo tu..Naandika hivi ili watu wake wampelekee msg its such a waste of Talent..
 
umelipwa au ni msukumo wako tu umekutuma kuandika hivi au we unafkiri nyimbo ya mdogo mdogo ya vigodoro ina maana gani sasa zaidi ya kuimbwa na watoto
 
Duh Kiba kawafanya mme-panick sana maana sidhani kama target yake alinganishwe na Diamond kwa kiwango hiki kama vipi muacheni dogo afanye yake maana hizi meseji zishakua nyingi sasa kila thread lazima irudi kwenye kuwalinganisha mimi naamini kafanya nyimbo zake kwa target zake muache apenye kwenye soko lake.
 
Hahahahahahahaha! Kesha panic huyo! Mara management mbovu, mara vocal nzuri, tulia wewe acha kutoka povu! Skiza mziki mzuri kwa masikio bora iwe chakula chako...
 

Pelekeni utumbo wenu huko fb ..sio mnakuja hapa na muchupi imewalegea mnaanza kabwabwaja...
 
Ulitaka acopy naija ndo umsifie?muambieni huyo ndomo wenu mjini watu tunacheza mwana dsm,huo uchafu wake sijui kitorondo apeleke huko kwao tandale
 
Kwi kwi kwi wew ndio UMEPANIC Lol
Sasa nyimbo ya #mwaDSM na Kitorondo au Mdogomdogo ni sawa???!!
 

Umeua...mkuu..
 
Mwingine kaweka ma satanic verses
 
Kiba na huo utumbo wake wa mwana atackilizwa chumbani na wasio jua muziki. Lakini hato pata show kupitia Mwana. Nyimbo mbovu, kama pua kama anakandamizw......... MUA.πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜›πŸ˜›
 
bas waTZ wote n wajinga kwasabab kila kona ni MwanaDSM na sio ktorondo.
na kama unamckilzaga vzur Alikiba Kwenye interview zake hana intention ya kushndana na ndomo
 
Kiba na huo utumbo wake wa mwana atackilizwa chumbani na wasio jua muziki. Lakini hato pata show kupitia Mwana. Nyimbo mbovu, kama pua kama anakandamizw......... MUA.πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜›πŸ˜›

Waambie ana tuzo mbili sasa..haloooo
 
Ebu iwekeeni hiyo nyimbo ya mwanadar es salaam na siye tuisikilize
 
Mmmh japokua mleta mada kaongea kishabiki lakini kuna ka ukweli hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…