Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Kisa za mama yako ziliruka kwa hyo ukageneralize!Issue hapa sio ufaulu. Bakhressa hakupata hata hizo D 2, unataka kusema hana akili?
Tatizo nyie ni la asili, ukishakua tu huko na akili zinaruka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa za mama yako ziliruka kwa hyo ukageneralize!Issue hapa sio ufaulu. Bakhressa hakupata hata hizo D 2, unataka kusema hana akili?
Tatizo nyie ni la asili, ukishakua tu huko na akili zinaruka
Walimu wapo wa aina mbiliKwani mwalimu ni yule anayefundisha shule ya kata tu? Wa private au boarding school siyo mwalimu? [emoji23]
Ndio mnavyojifariji? Hakuna anayepata Div 1 advance akaenda ualimu. HAKUNAWatu kibao tu nawafahamu walipata div 1 na 2 wakaenda kusomea ualimu
Huko kwny ulinzi vyeti vyao utakimbia
mshahara ni kero ya MuunganoHivi mishahara ni KERO kiasi hiki? Mbona haya majuma mawili ni kama wimbo wa taifa? Dah! Mnakera sana
Kumbe wa feza boys si mwalimu. 😂😂 punguani ni punguani tu. Kisa maza yako alikuwa mwl na haeleweki unahisi ni wote? Hao grade 1 walipta vyuo gani?Walimu wapo wa aina mbili
Grade 1 na
Popote kambi.
Hapa tunazungumzia hawa wa popote kambi. Au unataka kijifananisha na mwalimu anayefundisha Feza?
Unauhakika?Ndio mnavyojifariji? Hakuna anayepata Div 1 advance akaenda ualimu. HAKUNA
Mnafundisha wapi bana, watu wanajiongeza wenyewe.Waliofundishwa na walimu wasiokuwa na akili wao watazitoa wapi pimbi wewe?
Wa shule aina ya Feza tunawaita Academicians. Nyie wengine ndio walimuKumbe wa feza boys si mwalimu. [emoji23][emoji23] punguani ni punguani tu. Kisa maza yako alikuwa mwl na haeleweki unahisi ni wote? Hao grade 1 walipta vyuo gani?
Mtoa mada ni dhwadhwa, yaani .....,...........???!!!...!!Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Ukijiongeza unakuwa na akili hzi nadhani. 😂😂 kajiongeze tena pimbi uliyetendwa na mwlimu XMnafundisha wapi bana, watu wanajiongeza wenyewe.
Walipita vyuo gani hadi kuitwa hivyo? Sijawahi kuona title ya academicianWa shule aina ya Feza tunawaita Academicians. Nyie wengine ndio walimu
MWALIMU! Huyu ndiye kila mnapotak kutoa mfano mbaya kwa watumishi mnamuona.Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Ulipotaja Walimu wanaofundisha Feza na kuona wao ni ''So Special'' nikachora mstari kuwa wewe ni fungu la kukosa. Usiniulize kwanini ila jua tu wewe hujui unachokizungumzia.Walimu wapo wa aina mbili
Grade 1 na
Popote kambi.
Hapa tunazungumzia hawa wa popote kambi. Au unataka kijifananisha na mwalimu anayefundisha Feza?
Aisee! Nimecheka hadi boss kaniahirishia safari 🙂mshahara ni kero ya Muungano
Hyo ni kwako tu labdaImeongezeka 20K TU . Serikali ya CCM haijawahi kuwa upande wa watumishi wa umma.
Kwako imeongezeka ngapi?
hahahaha nimecheka piaaaAisee! Nimecheka hadi boss kaniahirishia safari 🙂
Mi zinakuja za kutoa 30,000/= ili kushiriki Korosho Marathon na za chuo cha DIDES za kuniambia kuwa kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho,.....ajabu ni kuwa mtoto wenyewe alipata 0Nasubir sms hapa iingie zinakuja sms za patapata sijui sensa tabu tupu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app