Mshahara na siku kuu ya iddi

Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?
Sikukuu ambayo mishahara huwa inawahi ni moja tu Christmas....hizo zingine pambana tu na hali yako
 
Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?

Waambie mashekh wasogeze sikukuu mbele...
 
Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?
Makusanyo yanaendelea tigo voda nk zikijaa mtapata!!
 
Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?

Makampuni yanayojielewa kesho yataanza kulipa mishahara ila makampuni ya JANJA JANJA JAZZ BAND wanapiga pass ndefu.
 
Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?
Kwani mkataba wako unataka payday ni lini..!? Payday yenu ina depence yoyote na sikukuu..!? Ingekuwa tarehe 12 Ndiyo Eid, ingekuwaje..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…