Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

Maendeleo haya hapa
Tutulie
IMG-20230722-WA0016.jpg
 
Kwenye suala la mishahara ya watumishi Jiwe Magufuli alikuwa mkweli na muwazi. Yeye alisema HANA HELA ya kuongeza mishahara bali ana hela ya kujenga miundombinu ambayo baadae itazalisha hela nyingi ndio aongeze mishahara. Mama akaja akatuhaidi "pekeji"! Pekeji yenyewe Sasa!!! Ahahahahaha!!!!
 
Kwenye suala la mishahara ya watumishi Jiwe Magufuli alikuwa mkweli na muwazi. Yeye alisema HANA HELA ya kuongea mishahara bali ana hela ya kujenga miundombinu ambayo baadae itazalisha hela nyingi ndio aongeze mishahara. Mama akaja akatuhaidi "pekeji"! Pekeji yenyewe Sasa!!! Ahahahahaha!!!!
Nimeelewa vema Sana
 
Back
Top Bottom