Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

Jugador_2023

Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
 
"incriment" ndio nini mkuu. Hata ningekuwa mimi ndio muongeza mishaha nisingekuongeza wewe kwa kuwa unaonekana mweupe kichwani. Hatuna neno "incriment" sijui umelitoa wapi​

Hahaha sawa
 
Nilikua sifahamu hivyo
 
Wewe muongo! Tarehe moja mshahara wa nani uliwahi kuingia? Basi tufanye sawa increment siyo lazima iingie na mshahara, je unaweza kutuambia mwaka gani na nani waliwahi kufanyiwa hicho usemacho?
 
Kwanza unaonekana umeajiriwa miaka ya karibuni! Mimi binafsi nimefanyiwa hivyo mara nyingi. Mwezi wangu wa increment ni May hivyo nasubiri hadi May mwakani.

Jiwe aliposimamisha increment bahati nzuri nilikuwa nimefika bar yaani ukomo wa nyongeza hivyo sikuathirika na nyongeza bali kupanda cheo!
 
"incriment" ndio nini mkuu. Hata ningekuwa mimi ndio muongeza mishaha nisingekuongeza wewe kwa kuwa unaonekana mweupe kichwani. Hatuna neno "incriment" sijui umelitoa wapi​

Kama ambavyo hakuna Neno...mishaha" ningekuwa Mimi Mod. ningekutoa humu ,Kwa kuwa yaonekana huna akili Kabisa!
 
"incriment" ndio nini mkuu. Hata ningekuwa mimi ndio muongeza mishaha nisingekuongeza wewe kwa kuwa unaonekana mweupe kichwani. Hatuna neno "incriment" sijui umelitoa wapi​

Sasa na wewe hiyo MISHAHA ndio neno gani? Kumbe na wewe empty kabisa kichwani
 
Jugador_2023

Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Acha uwongo
 
Watumishi wengi inaonekana hawajui kutofautisha annual increment na nyongeza ya mshahara ambao raisi anaweza akaraise mei mosi au asiraise. Labda kwasababu sijui annual increments zilisitishwa kwa muda mrefu hasa serikari kuu au sijui ni nini. Annual increment ipo kisheria mbona na inabase na mwezi ulioajiriwa na huongezeka annually maana ipo based na umeajiriwa mwezi gani. Annual increment haipo based na mwaka wa fedha kwamba mpaka mshahara wa July[emoji23][emoji23][emoji23]. Hapana, kwawalio kwenye mashirika ambapo annual increment bado ziliendelea natumai wanaelewa hili. Na ndio maana kama mtu angetaka kudig deep na kufuata sheria ungeweza kuishitaki serikari wakulipe arrears zako maana annual increment ipo kisheria sio huruma za raisi au serikari.
 
Bado mwarabu hajaanza kuongeza ufanisi bandarini, tukimruhusu kwa haraka ndio tutaanza kunywa maziwa yaliyochanganywa na asali🥛🍯
Bora mishaara ibaki ilivyoo kuliko mwarabu kabidhiwa bandari zetu zote ,tulio hai leo miaka 30 ijayo wengi tutakua tumefukiwa vipi vizazi vinavyo kuja?
 
Back
Top Bottom