Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
- Thread starter
- #61
Hahaha thank you very much. Yaani mtu akiteleza tu kuandika ndo iwe big deal. Hii ni social media tu sio sehemu ya kujifanya official kihivyoUjuaji mwingi hakuna kitu kichwani sasa wewe na yeye si inaonekana mko level moja ya ujinga "MISHAHA" ndio nini??
Tanganyika yangu jamani kila mjinga ujiona ni msomi dah!!