Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

watumishi wote piteni hapa, huyu maza tumfanyeje?? tukubaliane hapa kabsa!
To me: huyu 2025 asitoboe, kampeni ianze nyumba kwa nyumba, ofisi kwa ofisi. hatutaki ujinga aiseee.
we mpumbavu mnoo. mbona hamkufanya kampeni kumuondoa magufuli aliekaa miaka 5 bila kuongeza chochote
 
Ndo hivyo yaani kama walivyosema tutawaongeza kimya kimya tusubiri[emoji377][emoji377]
Kwahiyo mlikuwa mnakenua meno mtapata ongezeko la mshahara? Ccm imewajulia kweli kweli. Kula chuma hicho......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Serikali inahitaji watumishi waongeze ufanisi ili kuboresha maslahi na watumishi wanahitahi kuboreshewa maslahi ili waongeze ufanisi kwa hiyo tupo kwenye mkwamo
Matokeo ya F6 hujayaona mkuu?udara yetu kwa kweli tumejitahudi, PCB A A A
 
Ndo hivyo yaani kama walivyosema tutawaongeza kimya kimya tusubiri🚬🚬
Kwa tija gani hadi muongezwe mishahara, maofisini hamfanyi kazi hadi kwa kujuana, mafaili yanakazaa mezani miezi inapita na wananchi wanahangaika na shida zao wakija maofisini ilikutatuliwa shida zao ambazo ni haki zao mnatoa majibu ya nyodo utadhani ofisi mumezaliwa nazo.
 
Mjadala umetengenezwa kwa makusudi kwa kuondoa nyongeza iliyoahidiwa ili watu waache kujadili uporaji wa BANDARI ZETU NA DPWORLD NA MACHAWA WAKE,na badala yake wajadili mishahara kutokuongezwa !!!!!!!
 
Wewe muongo! Tarehe moja mshahara wa nani uliwahi kuingia? Basi tufanye sawa increment siyo lazima iingie na mshahara, je unaweza kutuambia mwaka gani na nani waliwahi kufanyiwa hicho usemacho?
unapuyanga soma uelewe
 
Ni moto !!
IMG_20230607_084036.jpg
 
Back
Top Bottom