Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Mama SAMIA amekuwa mlaghai kama Waziri mkuu🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wewe, mikataba ya ajira ya watumishi wa umma imeweka bayana kwamba, there will be annual increment in every 1st July.Kwanza unaonekana umeajiriwa miaka ya karibuni! Mimi binafsi nimefanyiwa hivyo mara nyingi. Mwezi wangu wa increment ni May hivyo nasubiri hadi May mwakani.
Jiwe aliposimamisha increment bahati nzuri nilikuwa nimefika bar yaani ukomo wa nyongeza hivyo sikuathirika na nyongeza bali kupanda cheo!
Pumbavu!Acha uongo wewe, mikataba ya ajira ya watumishi wa umma imeweka bayana kwamba, there will be annual increment in every 1st July.
Aisee,sas nimeelewa kumbe alisema pekeji sio package!😁😁😁😁ha ha haaa!!1 Pekeji hakuna. 😛 😛 😛 😛
kwanza nianze na hili kabla sijasahau you deserve a special KLMYJugador_2023
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Ufanisi hauongezwi na Mishahara.Serikali inahitaji watumishi waongeze ufanisi ili kuboresha maslahi na watumishi wanahitahi kuboreshewa maslahi ili waongeze ufanisi kwa hiyo tupo kwenye mkwamo
Umepigwa kama bossNilikua sifahamu hivyo
What's KLMY?kwanza nianze na hili kabla sijasahau you deserve a special KLMY
Mbili, Tumejaza mikataba ya ajira ambayo ina-state wazi kuwa annual increment ni 1/July.
Hii yako ya tarehe ya ajira umeitoa wapi?? kwenye mkataba upi??
Huyu maza tumkabili mchana kweupe
Tuliwaambia mtapigwa na kitu kizito kichwani, mkabisha. Poleni wahanga wote.Ndo hivyo yaani kama walivyosema tutawaongeza kimya kimya tusubiri🚬🚬
Ujuaji mwingi hakuna kitu kichwani sasa wewe na yeye si inaonekana mko level moja ya ujinga "MISHAHA" ndio nini??"incriment" ndio nini mkuu. Hata ningekuwa mimi ndio muongeza mishaha nisingekuongeza wewe kwa kuwa unaonekana mweupe kichwani. Hatuna neno "incriment" sijui umelitoa wapi
Tanganyika kila mtu ni mjuaji na msomiJugador_2023
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Braza benaldNdo hivyo yaani kama walivyosema tutawaongeza kimya kimya tusubiri[emoji377][emoji377]
Asante sikujua hivyoJugador_2023