Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

Kwenye suala la mishahara ya watumishi Jiwe Magufuli alikuwa mkweli na muwazi. Yeye alisema HANA HELA ya kuongeza mishahara bali ana hela ya kujenga miundombinu ambayo baadae itazalisha hela nyingi ndio aongeze mishahara. Mama akaja akatuhaidi "pekeji"! Pekeji yenyewe Sasa!!! Ahahahahaha!!!!
 
Nimeelewa vema Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…