Nimejaribu kuweka APE 1,020,000, N= 240 imenipa 440,000 (something like that). Nimekosea wapi?Formula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
nisaidie hii, miezi ya kuchangia 240, mshahara 1,066,000 average, lump sum itakuwwaje na monthly?1. Mkupuo: TZS 69,346,427.60
2. Kila mwezi: TZS 938,179
1. Mkupuo= 0.007112 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 21,834,409/=nisaidie hii, miezi ya kuchangia 240, mshahara 1,066,000 average, lump sum itakuwwaje na monthly?
Subutu!No 2 kwa mwezi atapata kama 500,000/=
Yawezekana! Maana mm nimekadiria kwa mujibu wa Afisa wa Kikokotoo alivyokuwa akifafanua kwenye ITV na alitolea mfano wa mfanyqkazi anayelipwa 2,000,000/= alibainisha atalipwa 400,000/=1. Mkupuo= 0.007112 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 21,834,409/=
2. Pension kwa mwezi= 0.0000963 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 295,649/=
Hesabu niliyotoa kwa mujibu wa kikokotoo iko sahihi kabisa.Yawezekana! Maana mm nimekadiria kwa mujibu wa Afisa wa Kikokotoo alivyokuwa akifafanua kwenye ITV na alitolea mfano wa mfanyqkazi anayelipwa 2,000,000/= alibainisha atalipwa 400,000/=
kiasi kidogo sana...lumsum...kwa mwezi ndiyo kifo1. Mkupuo= 0.007112 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 21,834,409/=
2. Pension kwa mwezi= 0.0000963 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 295,649/=
Mkuu hivi mstaafu akipitisha na kuishi zaidi ya hiyo miaka 12.5 nini kinatokea kuhusu mafao yake ya mwezi na stahiki nyingine?Formula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Aisee hiki kikokoto sio rafiki kabisa,sijui kama mstaafu atatoboa miaka mitano baada ya kustaafu kwa pension ya laki mbili kwa mwezi.1. Mkupuo= 0.007112 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 21,834,409/=
2. Pension kwa mwezi= 0.0000963 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 295,649/=
Hiki kikokoto nyoko sana,zamani hapo alikuwa anapata 1ml kwa mwezi.Yawezekana! Maana mm nimekadiria kwa mujibu wa Afisa wa Kikokotoo alivyokuwa akifafanua kwenye ITV na alitolea mfano wa mfanyqkazi anayelipwa 2,000,000/= alibainisha atalipwa 400,000/=
Jiwe alaaniwe,na hapo eti Mama Samia karekebisha,hatari sana.kiasi kidogo sana...lumsum...kwa mwezi ndiyo kifo
Kwa hela hiyo mstaafu hatoboi miaka mitano kama anategemea hiyo hela pekee kujikimu.kiasi kidogo sana...lumsum...kwa mwezi ndiyo kifo
kama kuna watu wa hovyo ni wafanyakazi.... hakuna lililojitokeza kwenye maandamanoKikokotoa noma wanajipangia wao huu ni umaskini wa fikra kwa waajiriwa hawana sauti yoyote juu ya hivi vikokotoa wasomi ni watumwa kwa wanasiasa
Mishahara gross au take home?Hii ni jumla ya mishahara ya miaka 3 ya mwisho unagawa kwa 3 unapata wastani wa mshahara bora wa mwaka, kama nimekuelewa.
Kwa hiyo ni rahisi kwa mtoa mada kukokotoa jumla ya mishahara yake ya mwisho ya miaka 3 na kugawa kwa 3 ili apate hiyo APE, na kuhusu 'N' ni idadi ya miezi aliyochangia.......kazi imebaki kwake.
Kongole kwa kusaidia na wengine, maana kila mmoja ni mstaafu mtarajiwa.
Ingia kwenye tovuti ya PSSSF utapata jibuNaomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
Laiti ungejua hali ya maisha ilivyo kwa sasa usingesema hivyo. Ila pia inategemea na mapato yako kwa sasa unapoyalinganisha na kiasi hicho cha pesa. Kwa wengine wataona ni pesa nyingi Sana. Lakini kwa baadhi ya wanaopata kiasi hicho hutwo ni tuela twa mboga tu, zaidi ya hapo waweza kulala njaa na familia yako ya watu watano.duuh pesa nyingi hyo watu wanafaidi
GrossMishahara gross au take home?