hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Wakili wa serikali anaanza na ngap mkuu?MD serikalini ananza na TGTS E, daraja moja na wakili wa serikali, vetinary, mhasibu nk na hilo ni daraja moja juu kwa mwalimu kwani huanza na TGTS D
Bora hao wengine wa Tgs D ndo balaaNi uchafu bado. Hadi aibu. Akikatwa kodi, bodi ya mikopo, mkopo wa gari nk, ni takataka tu. Ata ingekuwa 2.
Tuwekee salary slip yako mwanetuNi uchafu bado. Hadi aibu. Akikatwa kodi, bodi ya mikopo, mkopo wa gari nk, ni takataka tu. Ata ingekuwa 2.
Tuwekee salary slip yako mwanetu
So,wote tuwe mapolisi!Koplo wa jeshi akichanganya na posho zake anazidi hicho kiwango.
Polisi wa usalama barabarani anazipata hizo ndani ya wiki moja.
Unadhani kila mtu anawaza uchafu wenu wa salary slip?ππ Nikifanya trip moja tu ya kikazi namlipa MD wa kibongo, mshahara wa miezi 10 believe that , tena wa TGHSF ~1.8m sio E
Kazi gani hyoUnadhani kila mtu anawaza uchafu wenu wa salary slip?ππ Nikifanya trip moja tu ya kikazi namlipa MD wa kibongo, mshahara wa miezi 10 believe that , tena wa TGHSF ~1.8m sio E 1.5m
Duh wenywe wanasemaga watalipwa mbinguni watafanyaje sasa
Majinga.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hizo mnalipana mkononi, weka bank statement. Huna maisha wwUnadhani kila mtu anawaza uchafu wenu wa salary slip?ππ Nikifanya trip moja tu ya kikazi namlipa MD wa kibongo, mshahara wa miezi 10 believe that , tena wa TGHSF ~1.8m sio E 1.5m
We MD ndio una maisha?π€£π€£πππ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈ Bank statement yangu ni yangu kenge wewe, nikuwekee ili? Utapagawa dogo. Weka yako kwanza , I promise ntaweka yangu ila usiumie roho. Maskini wa bongo bana. Mnadhani masiharaHizo mnalipana mkononi, weka bank statement. Huna maisha ww
Mimi sio MD, na wala sipo kwenye mambo ya afya. Ila wewe mwamba huna kitu mganga nja tuu...We MD ndio una maisha?π€£π€£πππ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈ Bank statement yangu ni yangu kenge wewe, nikuwekee ili? Utapagawa dogo. Weka yako kwanza , I promise ntaweka yangu ila usiumie roho. Maskini wa bongo bana. Mnadhani masihara
Nimejenga nazo huko , nimefanyia na ninafanyia makubwa sana.Hizo mnalipana mkononi, weka bank statement. Huna maisha ww
Umeandika uongo kwa kujiamini we jamas, daktari gani uyo ana basic ya 1.3mDaktari anayeanza kazi basic ni TSH 1.3mil , take home 900+K...!!! Sema kuna viposho posho Kwa walio chini ya wizara ya Afya.... Maisha ni magumu Sana bado Kwa hawa watu, huwa wanakimbilia kwenye mikopo ya magar kuficha aibu...nazungumzia MD sio CO au tabibu
TGTS E, ni tofauti na TGHS EMD serikalini ananza na TGTS E, daraja moja na wakili wa serikali, vetinary, mhasibu nk na hilo ni daraja moja juu kwa mwalimu kwani huanza na TGTS D
Tuambie ni ngapi mkuuπUmeandika uongo kwa kujiamini we jamas, daktari gani uyo ana basic ya 1.3m
Majinga.
Naomba liten mkuuMimi sio mjinga nipo kwenye Shirika la Umma napokea Tsh2,400,000/= na posho za kutosha, kwa kifupi nalamba asali.
Wapi huko ndg mtaalamMimi sio mjinga nipo kwenye Shirika la Umma napokea Tsh2,400,000/= na posho za kutosha, kwa kifupi nalamba asali.
Mshahara sio 1.3, ni 1824000 hii ni kwa mujibu wa viwango vya mishahara ya madaktari wenye bachelor's degree 2023/24Bado hajakatwa Loan board