Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Habari za asubuhi wanajamvi

Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake

Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.


Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.

Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
 
kwa level yake ni mdogo sana unless kama kuna benefits nyingine in which i believe zipo!hence huu mshahara atakua haugusi!nasema mdg maana kuna MA CEO wa kampuni za binafsi hapa Tanzania wanapata zaidi ya hyo kwa mwaka!maana 364 kwa mwaka, kwa mwezi ni almost mil 30 na ushee!!kuna MA CEO wanakunja hadi mil 50 kwa mwezi!!
 
300m kwa mwaka na 50m kwa mwaka ipi kubwa?
 
Ela ndogo hiyo, ukiwa waziri deal moja tu la miezi 3 unasepa na hiyo. Alisikika jamaa fulani akisema.
 
Pole sana, huu mshahara wa kawaida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…