Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

Habari za asubuhi wanajamvi

Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake

Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.

View attachment 3086548

Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.

Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Hata mshahara wa mama yetu hauifiki hela anzogawa bure kwenye misaada na magoli ya mama, Jiulize na ujijibu.
 
Habari za asubuhi wanajamvi

Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake

Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.

View attachment 3086548

Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.

Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Mshahara wa kawaida sana. Tena kwa mtu wa profile yake huo ni mshahara mdogo sana.

Huo ni mshahara sawa na wa Project Manager wa kawaida tu at a US Bank.

Huo ni mshahara wa profesa wa kawaida tu US, profesa ni kazi isiyo na mshahara mkubwa sana US.

Kama ni suala la mshahara, hapo naona kama kajitolea tu, angeweza kupata kazi yenye mshahara mkubwa zaidi ya huo private sector.

Mishahara ya Tanzania ni midogo tu.
 
Mshahara wa kawaida sana. Tena kwa mtu wa profile yake huo ni mshahara mdogo sana.

Huo ni mshahara sawa na wa Project Manager wa kawaida tu at a US Bank.

Kama ni suala la mshahara, hapo naona kama kajitolea tu, angeweza kupata kazi yenye mshahara mkubwa zaidi ya huo private sector.

Mishahara ya Tanzania ni midogo tu.
Otherwise anatafuta legacy
 
kwa level yake ni mdogo sana unless kama kuna benefits nyingine in which i believe zipo!hence huu mshahara atakua haugusi!nasema mdg maana kuna MA CEO wa kampuni za binafsi hapa Tanzania wanapata zaidi ya hyo kwa mwaka!maana 364 kwa mwaka, kwa mwezi ni almost mil 30 na ushee!!kuna MA CEO wanakunja hadi mil 50 kwa mwezi!!
ukimpa hii hela yule mmakonde wadada wote wenye misamwanda wakae ndani
 
Habari za asubuhi wanajamvi

Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake

Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.

View attachment 3086548

Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.

Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Huwa nikikumbuka tumbua tumbua ya Magu huwa najiuliza kwanini alimtumbuaga huyu Dr. Ndugulile🤔
 
Back
Top Bottom