Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Pesa ndogo sana ukilinganisha na unyeti wa taasisiMilioni 360 kwa mwaka ni hela ndogo mkuu? Watanzania wangapi unaowajua wanaingiza hiyo hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ndogo sana ukilinganisha na unyeti wa taasisiMilioni 360 kwa mwaka ni hela ndogo mkuu? Watanzania wangapi unaowajua wanaingiza hiyo hela?
Ndogo sanaNi sawa na takribani 30m kwa mwezi.
Wewe hujui mambo ya mishahara naona.hapa hap Bongo kuna ma CEOs wengi sana wanalipwa hela mara mbili ya hiyo.unachofanya hapa ni kumtafutia matatizo ya machawa tuu.Yaani wale wasiojua mambo ya mishara watakuletea lundo la shidaHabari za asubuhi wanajamvi
Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake
Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.
Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.
Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Watu kupata hio 30m kwa mwezi hapa TZ haimanishi kuwa hio hela ni ndogo. Ukitaka kujua hio hela sio ndogo jiulize ni watu gani wanapata hio hela kama mshahara hapa Tz. Kama CEO wa kampuni inayoingiza mabilioni kwa mwaka analipwa 30m au zaidi ina maana hio hela sio ndogo.1. Una uhakika Waziri mkuu wa India analipwa 14M /mwezi?
Mbona pesa ndogo sana?
2. Ndungulile kuliowa 30m/mwezi ni pesa ndogo sana pia ukilinganisha na ukubwa na unyeti wa taasisi
Hiyo 30m/hata hapa nchini wapo watu wanavuta.
Je mbunge anavuta kwa mwezi?
Kuna watanzania wakuu wa makampuni ya kigeni ya wawekezaji na walioko vitengo muhimu yaliyoko nchini mshahahara yao inaanzia milioni 150 kwa mweziMilioni 360 kwa mwaka ni hela ndogo mkuu? Watanzania wangapi unaowajua wanaingiza hiyo hela?
Watanzania na akili ya uwizi uwizi tu. Eti nafasi ya kupiga pesa. Inakuwa waziri badała ya kufanya Kazi uache legacy Fulani hapa duniani muda wa kupiga pesa mnautoa wapi? Na hizo pesa mtaenda kufanyia nini?Kwenye uwaziri wa afya anapata hela nyingi kuliko hiyo kwa mwaka.
Waziri wa afya ana fursa nyingi sana za kupiga hela
Tatizo wa Tanzania kutotoka nje kusaka kazi wanaona nyingi hiyo pesa ya Ndugulile ukienda hapo Kenya tuMbona pesa ya kawaida sana. Ila kwasababu ya umaskini inaonekana nyingi.
Ni milioni 30 kwa mwezi, pesa ambayo ukifika mgodini Bulyanhulu watu wengi wanalipwa hiyo pesa na wengine zaidi
Huko kwa mama ushungi ni mbali kwa deals ambazo zipo mawizarani huko iyo pesa ni peanut tu.Shangaa India ambaye ni Giant kiuchumi mkuu wake wa nchi ameachwa mbali sana mara mbili na ushee ila niamini mimi Hiyo pesa bado ndogo sana kwa mzigo anauchukua mama ushungi.
Ccm imewafanya Watanzania wengi wajinga sana. Hawayajui kabisa ya dunianiTatizo wa Tanzania kutotoka nje kusaks kazi wanaona nyingi hapo Kenya tu
Co-operative Bank of Kenya chief executive Gideon Muriuki earned Sh455. 5 million kenya shillings last year, cementing his position as corporate Kenya's t a daily average earning of Sh1. 25 million Kenya shillings
Huyo mshahara wake ukipiga hesabu kwa pesa ya Tanzania huyo mkuu wa benki ya ushirika ya Kenya kwa mwezi analipwa shilingi milioni 750 kwa mwezi hiyo hela Ndugulile kwake ndogo mno
Naingiza mill 51,120,000/=Habari za asubuhi wanajamvi
Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake
Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.
Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.
Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Masikini anayepata elfu moja kwa wiki aweza ona yeye tajiri kuliko maskini anayepata mia tano kwa wiki akampuuza mpata mia tano kuwa lofa kumbe wote maskini na malofa hakuna tajiri hapo wanapishana tu kiwango cha umaskini ndio maana wazungu wakiangalia Tanzania wanaiita nchi maskini na akina Ndugulile wanahesabiwa humo.humoNi ajabu Kuna mtu nimeona hapo juu amekomenti eti mshahara wa milioni 360 atakaolipwa Ndugulile Kwa Mwaka ni mdogo wakati huo huo yeye akichanganya kipato chake chote Kwa Mwaka hakifiki hata milioni 12 yaani haingizi zaidi ya milioni 1 Kwa Mwezi 🙌
Yaani tumezoea roho mbaya tu 🙌
Feisal Salum pale Azam analipwa Zaid ya hiyo.Milioni 360 kwa mwaka ni hela ndogo mkuu? Watanzania wangapi unaowajua wanaingiza hiyo hela?
Mbona hizo ndogo sana, kuna wengine wanalipwa 1.7 Million GBP kwa cheo kama chake kwa mwaka na wako kimya tu humu...Hongera kwake lakini kwa kuwakilisha nchi na wananchi vyema.Habari za asubuhi wanajamvi
Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake
Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.
Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.
Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Mkuu,Naingiza mill 51,120,000/=