Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mshahara wa kawaida sana kwa CEOs nashangaa huyu dogo amepagawa nini? Almost CEOs wengi wanakula hapo kwa mwezi plus marupurupu mengine. Hakuna.cha ajabu kwa level yake tena kwa UN bado wa kawaida sanaHuo mshara wa M30 kwa mwezi ni mkubwa lakini sio kusema ni mshahara NOMA SANA
Ni nyingi kama anaishi Tanzania, nchi za wenzetu ni pesa ndogo ya kulipa bills tuu, toa 30% tax kwanza, nyumba itakuwa karibu 40,000 Kwa mwaka, anaweza asibaki na kitu mwisho wa mwaka, Kwa US huo ni mshahara wa dereva wa lori anayejitumaMilioni 360 kwa mwaka ni hela ndogo mkuu? Watanzania wangapi unaowajua wanaingiza hiyo hela?
Habari za asubuhi wanajamvi
Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake
Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.
Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.
Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Mimi nilidhani kwa mwezi 😂Kwa mwaka mbona sasa ni hela ndogo.
Huo ni mshara wa mchezaji wa mpira wa ulaya wa kiwango cha kawaida kwa week moja
Ni kama milioni 28 kwa mwezi !Kama kuna kitu cha kuachana nacho basi ni WATANZANIA,...kwa ufupi hiyo pesa ni ya kawaida,...
Kmashahara kadogo sana hako.Kwa mwaka mbona sasa ni hela ndogo.
Huo ni mshara wa mchezaji wa mpira wa ulaya wa kiwango cha kawaida kwa week moja
Utakuwa umeangalia website fake wewe! US$ 134000 kwa mwaka mbona mshahara wa Afisa wa ngazi ya chini kwenye UN system hapa nchini. Rudi tena uangalie vizuri.Habari za asubuhi wanajamvi
Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake
Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.
Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.
Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Watu hawawazi kazi, bali kibunda,.,.Ni kama milioni 28 kwa mwezi !
Pesa nyingi!
Wabongo wanapenda upigaji ndio maana hawazungumzii Ufanisi wake utakuwaje katika kazi yake mpya !
Bongoland 🤦🏽♂️Watu hawawazi kazi, bali kibunda,.,.
Ndo ukweli huo. Ethiopia,Israel,ujeruman na hata Uingereza ,ingawa Uingereza head of state no mfalme.Kuna vitu akili yangu ilishagoma kuelewa, ni pamoja na hiki sasa 🤣
Umesahau na benefits yeye na familia yake . Watoto zake wote na mke wakiumwa matibabu ni kwenye developed country , kusomeshwa kwenye developed country kama UK Au USA , , safari za likizo . Kuna lots of benefitsHabari za asubuhi wanajamvi
Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake
Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.
Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.
Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Mbona pesa ndogo sana hizo?Habari za asubuhi wanajamvi

Huyu atakuwa bado anasoma chuo🤣Azizi k milion 50 , ulaya mbona mbali ata golikipaa wa Azam
🤔🤔🤔🤔Huo mshahara ni mdogo. Sema atapiga hela kwenye posho za vikao, safari na semina.
siyo mdogo ndio ulimfanya Gabliyesuz wa Ethiopia afadhili vita ya kaskazini mwa Ethiopia.🤔🤔🤔🤔
Mkuu ebu fafanua hapo kodogosiyo mdogo ndio ulimfanya Gabliyesuz wa Ethiopia afadhili vita ya kaskazini mwa Ethiopia.
Sasa si kama milioni 30 na upuuzi mbona hata bongo tu hapa kuna watu wanalipwa hivyoMilioni 360 kwa mwaka ni hela ndogo mkuu? Watanzania wangapi unaowajua wanaingiza hiyo hela?